The Arusha East African Training Institute(TAEATI)

The Arusha East African Training Institute(TAEATI)

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
4,641
Reaction score
3,680
Kwa wadau wa elimu, wazazi na wanafunzi waliomaliza form four

Yawezekana matokeo ya kidato cha nne yakawa ni yenye kukatisha tamaa na kuhuzunisha lakini maisha siku zote yana fursa nyingi za wewe kufikia malengo yako ya kimaisha.

Kwa heshima na taadhima naomba kuileta kwenu The Arusha East African Training Institute(TAEATI) kama fursa nyingine ya kujiendeleza kielimu hususani kwa waliomaliza kidato cha nne. Tafadhali tembelea tovuti yetu The Arusha East African Training Institute kwa maelezo zaidi,pia waweza kuwasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo 0753810001,0766810001,0754494316 na 0715348782
 
chuo hovyo hicho. waalim wake hata drs la saba sidhani kama wamefika. msiwaibie wazazi hela. mods toeni huu uchafu!
 
Back
Top Bottom