HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Hii ndiyo dini inayotufaa kwa sasa kama hawa hapa chini walianzisha dini zao za kikristu chini ya yesu ndani ya ulaya sasa na sisi WAAFRIKA tuanzishe zetu ndani ya AFRIKA.
Mimi ninaanzisha hii dini kwa WAAFRIKA wanaojitambua tu,weka hapa makala, maoni, picha, ushuhuda visivyo kashifu dini nyingine lengo likiwa ni kuwaamusha waafrikana waliopotea.
MISINGI:-
Msingi mkubwa wa dini hii utakuwa ni kuwaamusha WAAFRIKA kwa kuwakumbusha walikotoka na walipokosea na pia kurekebisha yale yote wanayodhani ni dhambi kwa kukaririshwa na wazungu.
LENGO KUU:
Lengo ni kuondoa unyonyaji unaoendelezwa na wakoloni weusi kupitia sadaka na zaka hasa kwakuwanyonya madikini wa fikira na mali waliowengi mbadala wake uwe ni kuwainua maskini wote kwa kuwawezesha kutokana na dini hii hivyo kuondoa SADAKA bali kuwapa WAO SADAKA kitu ambacho kinawezekana
WAUUMINI wa dhehebu hili wataweza kuwasaidia MASIKINI kwa kuwapa UWEZO WA KIMAISHA kupitia MICHANGO itakayopatikana katika IBADA zetu hakuna MASIKINI atakayelazimishwa kuleta PESA kanisani hadi atakapoweza kusimama kiuwezo ndipo na yeyevataanza KUWACHANGIA wengine kuweza kuwainua .