THE BATTLE OF 3: Evra, Cole & Marcelo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Hawa ni miongoni wa beki tatu bora waliowahi tokea duniani.

Bila ya kujali ushabiki waorodheshe kuanzia alie kuwa bora zaidi ya mwenzake katika nyanja ya beki wa kushoto.



 
MARCELO yupo Daraja ya Juu ya Peke yake kuliko hao wote.

Hao wawili wakadirie tu maana wanadhqbihiana uwezo.

Am a Chelsea FAN.
 
Marcelo yupo vizuri kushambulia kuliko kukaba.
Cole hiyo mashine inakaba mpaka kivuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…