Yahemovich
Senior Member
- Jan 20, 2011
- 170
- 3
ndio maana na ww ukaamua kila ukizini na mmoja unamuacha? wanaume wenye tabia kama yako ndio wanasababisha mambo kama hayo uliyoyasema.
otherwise, am sorry kama nimekuboa!!!
Punguza tamaa kijana
mi sina tamaa ila nahitaji kujua maana mwishoni lazima nitamtaka mrembo mmoja wakuishi nae kama ndo wote wako kwafashion yakatoto mgongo itakuwaje?
kumbe unajua kuwa umejibu O.P Afu unapretendi unadhani mi nilipenda wala nisingejiuliza nikagundua si ningeendelea kubang but to the moment no lady on my back till the heal.
sio nyongo nahitaji kujua mambo yalivyo.Halafu wewe bana unatafuta nyongo za watu zilipo haya bana kila la heri na ubarikiwe
usinidanganye hiyo ni tabia tu ambayo unaweza kuendelea nayo ama kuiacha, kama uliona unafanya sio vema kwanini usiache? alafu unasema na pritend na pritend kitu gani??
unafikiri tunafurahi tunavyofanywa? unafikiri kila msichana/mwanamke hapendi kuwa na mume wake au familia yake? mnatuharibia maisha alafu unajiuliza kama ana mtoto mgongoni itakuaje??
si umuoea na mtoto wake uwalee wote? kwani kuzaa ni ulemavu?
mi napita tu:llama:
Jamani warembo wazuri wa sura, maumbile, rangi macho, pua, sauti waliokamilika kila idara nawaona wengi tu na kila kona tatizo kila ninaetaka kumtakeover anakuonesha mtoto mgongoni na hana ndoa. Tatizo huwa nini? UMALAYA? KUTOKUJUA JINSI YAKUJITUNZA?, HUKOMOLEWA? UMASIKINI?, TAMAA?, au INTEREST BINAFSI?
Michelle, Lizz, Wiselady, Hussinayo, Pakaz Jimmy na Mweusi, inspire other members of this floor to stand on the stuff above adequatelly.
Hussinayo, .