The beautiful ones exists.

Wazuri bado hawajazaliwa. Rejea kitabu, "The beatyful Ones are not yet born" by Ayi Kwei Armah wa Ghana

don't rely much on this statement,is a myth kinda of.......hope u know uzuri is a very broad term si lazma uwe wa outlook,it can be inward personality,someone can be gud in eating,career,sports n games,good in varous aspect....kwa hiyo i don't buy that statement wazuri wapo n they are still yet to be born......as for the thread ngoja niitafakari
 
Wazuri bado hawajazaliwa. Rejea kitabu, "The beatyful Ones are not yet born" by Ayi Kwei Armah wa Ghana

wazuri wa muonekano, ndo maana nauliza pamoja na vitabu kama hivyo bado watu hawabadiliki kizazi hadi kizazi, angalau sura na tabia vicollerate?
 
hao watoto wanapachikwa mimba na watu kama nyie mnao chagua wale wazuri mnafumua mara moja kama ulivyosema then mnasepa...mngekuwa na firm relationship wasingekuwepo watu kama hao unawazungumzia kijana...kumbuka huyo unaefumua na kuacha alishafumuliwa kitambo wewe utakuwa sio wa kwanza...kwa mantiki hiyo ukifuatilia sana mtazamo wako hutokaa uoe kijana
 
Mkuu kama nakaa jirani na wewe niambie nihane cz bado binti yangu ni mdogo.

We kila mtu unayemjua anapata mimba before 15, alafu huusiki hata mmoja wao!!

I doubt Mkuu.
 
Mkuu kama nakaa jirani na wewe niambie nihane cz bado binti yangu ni mdogo.

We kila mtu unayemjua anapata mimba before 15, alafu huusiki hata mmoja wao!!

I doubt Mkuu.

hahahaha!hama tu kiongozi huyu ni sooo
 
Takes 2 to Tango. Na kwa kuangalia huwezi kumjudge. Behind every woman you met, there ia a man who did her wrong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…