Aise siamini na wala siko kama Nick bana
halafu alivyo na bahati
GEE ame take efforts kumuelewesha
kuwa 'kazi ni kwake'.....umeona hiyo???lol
kinachoniuma zaidi mimi na SL tushaanza kupiga hatua,nilikuwa nasubiri yatch yangu itoke mentenensi twende naye madagascar!Kaoge na maji ya mto msimbazi unaweza takata kidogo.
Maana huko kuugua kwako ndo kabisa umeharibu CV maana inasemekana ulikuwa unalelewa na SL
Sasa suali moja unajibu mara ngapi?
Hamna mkuu...lol dah kaka hata haujam-trace route Nemo
kinachoniuma zaidi mimi na SL tushaanza kupiga hatua,nilikuwa nasubiri yatch yangu itoke mentenensi twende naye madagascar!
Kuna mtu anapandishwa mkenge live bila chenga
Kukuhakikishia kuwa siko kama mshkaji
unaikumbuka nyimbo ya bobby brown..'dont be cruel' lol...
Ahahahhaah aise nimekuta kufuli kwake so hapo jua kuwa hayuponina comandoo training israel,nini bastola ,mi nakwepa risasi.
Aise najiamini sana na sina wala haja ya kujiteteaKwa wengine inaonekana kuna ukosefu wa kujiamini
niikumbuke kwani nilikuwa nishazaliwa? Hebu usinzeeshe mtoto wa mwenzio 😛
nahisi Nemo anatazama tu as a guest...soon ataingia tu humu...lol
Hahaha! Lol GaijinKuna mtu anapandishwa mkenge live bila chenga
Hahaha! Lol Gaijin
Aise najiamini sana na sina wala haja ya kujitetea
Word Gaijin that fish banaa nahisi soon urafiki na udugu wangu na The Boss unaweza kupart ways....lolNaona Operation "Finding Nemo" imeacha maji.
I have to give it to her though, that fish was cute
Naona Operation "Finding Nemo" imeacha maji.
I have to give it to her though, that fish was cute
Yaani kumkabidhi fisi bucha utakuta hata mifupa hamnaMr Rocky
Unaonekana situation is not under control.
Hebu sema wenzio wakusaidie