The beauty and the ugly.

Word Gaijin that fish banaa nahisi soon urafiki na udugu wangu na The Boss unaweza kupart ways....lol

Undugu wetu hautakufa....nitakuheshimu zaidi
ukiweza kwenda on par na mimi 'kaka yako' nikashindwa ....
do you have that game????lol....
 
TF atakuwa na tatizo la 'the grass always looks greener on the other side of the fence'

Afro,Husninyo,Sweetlady,Jux,kokuberwa,Kipipi....but the guy keeps asking
about Nemo kutwa....and Nemo is asking about me ...lol....

hilo Boss si tatizo ni a fact of life

Wewe umepata mtu kakurushia hadi uzi na kuwaambia wanawake wote JF "wakukome" lakini wala husikii huoni kwa "a lost tiny fish"
 
hilo Boss si tatizo ni a fact of life

Wewe umepata mtu kakurushia hadi uzi na kuwaambia wanawake wote JF "wakukome" lakini wala husikii huoni kwa "a lost tiny fish"

ha ha ha wewe bana...
Sasa kama mimi ni two fish to choose..
dogo ana Catalougue yenye mpaka 'mermaid' but
anataka 'undugu ufe na kaka yake' kwa fish mwingine kabisa..lol
 
ha ha ha wewe bana...
Sasa kama mimi ni two fish to choose..
dogo ana Catalougue yenye mpaka 'mermaid' but
anataka 'undugu ufe na kaka yake' kwa fish mwingine kabisa..lol

Two fish wapi wakati ushasema kupaishwa PM wewe ni routine 😛
 
TF atakuwa na tatizo la 'the grass always looks greener on the other side of the fence'

Afro,Husninyo,Sweetlady,Jux,kokuberwa,Kipipi....but the guy keeps asking
about Nemo kutwa....and Nemo is asking about me ...lol....
hivi Kipipi na Nemo nao wametumbukia kwenye nyavu za fisadi wa mahaba TF? Maskini!
 
Ahsante

But I don't go to strangers' houses

mai broda,bishanga abashaija stranger kwako? we njo manzese uwanja wa fisi,uliza wapi kwa bishanga utaonyeshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…