The beauty and the ugly.

ukitoka keko machungwa itafute kamata,ukifika posta chukua basi la masaki,njoo mpaka sea cliff ,shuka hapo , hayo ma apartment ya kushoto kwako ndo kwangu,karibu.

tangu asubuhi nilikuwa hapo sea cliff, kumbe ningeweza kukutafuta tukala wote sikukuu.................lol
 
tangu asubuhi nilikuwa hapo sea cliff, kumbe ningeweza kukutafuta tukala wote sikukuu.................lol
karibu mkuu,ndo mama anamalizia kukaangiza lobsters,praws na kalamari.
 
AshaDii habari zako bana
Uzi wa bishanga umefikia mbali
 
Avatar yangu inaakisi mazingira niliyokulia; maisha ya kijijini utotoni; na hali halisi ya maisha ya watoto wengi sana huko vijijini; yaani nguo ni moja hiyo hiyo; hakuna viatu na kuoga ni mara moja jioni na ukibahatika utapakwa mafuta usoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…