The beauty and the ugly.

Duh mkuu hapo nimetoka kapa hata kumpata mmoja hapo sijaambua
ngoja nitafute picha yake nikuwekee kabisa umuone
Guliano gemma alikuwa bonge la superstar enzi za sinema za ma cowboy( mfano 'one silver dolar) yaani ilikuwa ni farasi na bunduki kwa kwenda mbele (hata Ronald Reagan alicheza hizo movies),kina hemma malini,amitah bachan,rish kapoor ,mumtaz walikuwa ndo ma staa wa bollywood miaka hiyo.Tivoli sinema mwanza kiingilio kilikuwa senti hamsini,hahahahahaaaa those days meeeeeeeeen.
 

Lizzy nakubaliana na wewe
Kuna watu wanaweka avatar basi tuu ili kuweka
Ila wengine zinareflect something au ni za movie walizozipenda au wanamuziki wanaowapenda au watu wa kada mbalimbali wanaowapepnda au wanaopenda misimamo yao
Pia au reflection ya kitu fulani kwa mtu husika kama maisha ya kijijini au ya shida au kikatuni
 
nidadavulie ya kwako basi,ya kwangu ni uhaya tu unanisumbua.
 

Thank you bro kwa ufafanuzi wako
Amitah kidogo nimemsikia sikia na kipindi hicho namsikia bado zile kumbi za dar za Avalon cinema au Empress cinema bado zinafanya kazi
Kwa sasa ndio hao akina Nick Cannon , Steven Siegal, Omarion, Christina Milan na wengineo wengi tuu wanatamba
 
Lizzy kamaliza kila kitu na Mr Rocky kashadidia vizuri kwenye post yake ya kwanza

Ama interest ama labda wanafanana na hizo Avatar.
 
Lizzy kamaliza kila kitu na Mr Rocky kashadidia vizuri kwenye post yake ya kwanza

Ama interest ama labda wanafanana na hizo Avatar.[/QUOTE]

Sitaki kusemea hapo kwenye blue
 
sina tatizo na hoja yako,swali langu ni kutaka kuelewa maana ya hii trend,beauty kwa avatar za kina mama na ka ugly flan upande wa kina baba,ina maelezo hii?
 
kwa raha zenu mkuu,mimi ni kazini,rose garden,nyumbani,kazini,breakpoint,nyumbani.......
 
nidadavulie ya kwako basi,ya kwangu ni uhaya tu unanisumbua.

Yangu naipenda kwasababu huyo dada ni natural all the way...hajajicarolite (kitu ambacho sifagilii kabisa) but mostly ni hilo pozz.
Nikiiangalia hua nahisi kama najianjgalia mwenyewe maana most of the time ukinikuta nimekaa iwe nyumbani au hata darasi utakuta nimeweka mkono wangu kama huyo dada. Pozz la kutafakari hilo....
 
kwa raha zenu mkuu,mimi ni kazini,rose garden,nyumbani,kazini,breakpoint,nyumbani.......

Mkuu sometime unajikumbushia ulimwengu unaendaje kwa kuangalia movies mbalimbali mpya na za zamani
Maana sometimne dailoy routine inachosha au ukiwa mbali na familia mkuu movie ni nzuri sana haswa comedy
 
sina tatizo na hoja yako,swali langu ni kutaka kuelewa maana ya hii trend,beauty kwa avatar za kina mama na ka ugly flan upande wa kina baba,ina maelezo hii?

Hamna cha trendy....swala ni interest!!
Interest za wanawake na za wanaume hazifanani...namna ya wanawake na wanaume kufikiri haifanani....ndo maana unaona utofauti mkubwa!!
Hata wadada sio wote wenye avatar zinazohusiana na urembo au wakaka wote wenye avatar zilizokaa ''vululu vululu'' kwasababu tunatofautiana!
 

nimekupata,kutafakari muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…