Hivi Gaijin umenihama mara hii. Tulianza vyema alipokuja tuu TF ukanikimbia
Mbaya sana hapo
QUOTE=The Boss;2763724]wewe ni no 2 now kwenye research ya
vidume vya jf.most desired by ladies...baada ya TF
hiyo research bado haijawa published...but nimeiona..ulikuwa hujui....
Duh itabidi nikubembeleze bana unikubalie kuwa na urafiki wa kuendelea
Maana naona TF anajipendekeza kwako
Hili balaa sasa maana ninavyojua mimi ni TF na the Boss na then Mbu na NN na then Babu then wengine huko tunashikila mkia
Usihangaike, sina historia ya kubembelezwa nikabembelezeka.
Wewe hangaika na wengine tu :]
TF hajipendekezi kwangu usihofu......ananijua fika.
Gaijin like all women na yeye yupo curious..
whats the deal with jf ladies na TF....
so na yeye 'yupo kwenye research' lol
usimlaumu after all she is a woman too..lol
Nick unataka kusema Gaijin alikuzimikia?
Nick unataka kusema Gaijin alikuzimikia?[/QUOTE]Hili balaa sasa maana ninavyojua mimi ni TF na the Boss na then Mbu na NN na then Babu then wengine huko tunashikila mkia
Gaijin like all women na yeye yupo curious..
whats the deal with jf ladies na TF....
so na yeye 'yupo kwenye research' lol
usimlaumu after all she is a woman too..lol
Hivi yale ya The Boss na majivu yaliishia wapi...lol au Boss aliamua kufanya confessionsUsihangaike, sina historia ya kubembelezwa nikabembelezeka.
Wewe hangaika na wengine tu :]
TF hajipendekezi kwangu usihofu......ananijua fika.
Wewe mchuuze tu mwenzio
Hivi yale ya The Boss na majivu yaliishia wapi...lol au Boss aliamua kufanya confessions
Ngoja ninyamaze hapa maana mwelekeo haujakaa vyemaWewe mchuuze tu mwenzio
Have I ever do or say that
I don think so.
Hivi yale ya The Boss na majivu yaliishia wapi...lol au Boss aliamua kufanya confessions
Ngoja ninyamaze hapa maana mwelekeo haujakaa vyema