The Beauty of African Wedding

CPU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
3,858
Reaction score
687























Nimeipenda sana hii Harusi, natamani nikishapata mwenzi wangu nifunge nae ndoa ya hadhi hii.
If you look the pics careful you'll see the ladies are so cute and beautifully.

 

Attachments

  • 2.jpeg
    25.3 KB · Views: 69
It is a wedding style to be emulated by this tanzanian dot com generation; because it is relatively cheaper and it generates employment in the country!
 
It is a wedding style to be emulated by this tanzanian dot com generation; because it is relatively cheaper and it generates employment in the country!

The Great Thinker at work :clap2::clap2::clap2:
 
Hii harusi nimeipenda sana. Hongereni maharusi

U have to be creative sio kila kitu tunaiga from USA maana hata europe harusi zao huwa ni ndogo sana na ni watu muhimu tu wanaalikwa. Bongo harusiinaharimu hadi milioni 30....per one night wakati hata nyumba ya kuishi hamna....
 
Tena harusi hii sidhani kama ilifika Mil 2
 
Ni Nzuri kwa kweli...najuuuta kuoa kwa harusi ya kizungu. Hata hivyo nitasherekea miaka 25 namna hii.
 
Mbona nguo walizovaa pamoja na gari, coka na mirinda, sio asili ya mwafrika?

Anyway, imependeza...
 
I see nimeipenda imependeza sana lakini inaweza kuwa ni ya ghalama sana
 
Imependeza sana, hongereni maarusi na wapambe...
 
I see nimeipenda imependeza sana lakini inaweza kuwa ni ya ghalama sana
No Mkuu, sio gharama kabisa. Labda tu iwe kwa makusudi tu nguo hizo ziuzew bei mbaya na accessories zake
 
What a nyc wedding.... everythn so natural
 
Wonderful!
Mzee wa AfricaSana alikuwa anaoza bintiye!
 
Soda why???,wangeweka Kindi,Rubisi,pingu,mbege
Iko muzuri sana aisee...
 
Harusi nzuri sana...hii...cheaper.....by looking lakini hizi arts za kibongo hasa clothes zinakuwaga gharama sana...japo hazifikii suti moja ya mlimani city....kwanza inaweza kuwa suti moja ni sawa na gharama ya bibi na bwana harusi....kwa harusi hii..teh teh teh:clap2: Nimeipenda kwa kweli no much make up.....watu wanakuwa natural..
 
No Mkuu, sio gharama kabisa. Labda tu iwe kwa makusudi tu nguo hizo ziuzew bei mbaya na accessories zake

Huyo jamaa ane shona suit hizo niliwahi mpigia cmu anauza bei mkuu
 
Nimeifurahia sana Harusi kwa kweli. Ngoja nifanye mipango ya yangu
 
Nimeipenda sana this is the beauty of african wedding simply beautiful and natural nimepnda mavazi yao pia kuhusu gharama unaweza kushangaa ni tofauti tunavyofikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…