NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
Kaka mimi nitafurahi hasa endapo tukianza kufanya harusi za namna hii, itakuwa nafuu sana kwa watanzania wengi kiuchumi. Na hata wenye hela wataiga wakiona zinavutia sana
Nimeipenda sana hii Harusi, natamani nikishapata mwenzi wangu nifunge nae ndoa ya hadhi hii.
If you look the pics careful you'll see the ladies are so cute and beautifully.
[/CENTER]
Wonderful!
Mzee wa AfricaSana alikuwa anaoza bintiye!
Duuuh! Maria Roza unawajua mpaka majina??? Ulikuwepo nini??