Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Feb 17, 2010 #21 k_u_l_i said: Kwa kweli mahesabu yana uchawi mwingi kuliko yote ni universal & timeless. 1+1=2 in Tz, India, China na kote duniani vile vile 1+1 =2 in 1804, 1956, 2010 and forever. ¬K Click to expand... Lakini Nyerere na Karume wamekwambia 1 + 1 = 1
k_u_l_i said: Kwa kweli mahesabu yana uchawi mwingi kuliko yote ni universal & timeless. 1+1=2 in Tz, India, China na kote duniani vile vile 1+1 =2 in 1804, 1956, 2010 and forever. ¬K Click to expand... Lakini Nyerere na Karume wamekwambia 1 + 1 = 1
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,273 Feb 17, 2010 #22 Kiranga said: Lakini Nyerere na Karume wamekwambia 1 + 1 = 1 Click to expand... Mazee, tupatie hiyo nukuhu kutoka kwa hawa nguli kwenye mitaala ya hisabatia.
Kiranga said: Lakini Nyerere na Karume wamekwambia 1 + 1 = 1 Click to expand... Mazee, tupatie hiyo nukuhu kutoka kwa hawa nguli kwenye mitaala ya hisabatia.
C Cotan Member Joined Feb 11, 2010 Posts 72 Reaction score 12 Feb 26, 2010 #23 Asante mkuu kwa kuchangamsha bongo zetu ila Math wengi inatukimbiza