The Beauty of Tanzania...(Picha)

hapa ni daladala bubu na taxi bubu,kila mtu anaharaka kupita mwenzake
 


hawa ni baadhi ya wanafunzi waliokuwa wamekosa sehemu ya kukaa
 
Hii ni mandhari nzuri ya Jiji la Dar es Salaam, katika maeneo ya Posta Mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…