Leo nimepokea Ujumbe wa hii challenge. Binafsi sitapata nafasi ya kushiriki, nikaona ni vyema niwashirikishe wengine watakaokuwa na muda na wangependa kushiri.
Naona kuna zawadi ya mpaka 3.5mil TZS. Sio kubwa lakini kwa mwenye muda na Passion fedha hii inatosha hata kununua vitu vichache kujipongeza 😉
Anyway maelezo yapo kwenye hiyo video chini.
NOTE:
Kimsingi sijui chochote kuhusu hii kitu wala mimi sina uhusiano wowte na hii kitu. Nawashirikisha tu taarifa na si zaidi ya hapo!