VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Please Natengeneza Playlist ya Best Tunes za Bongo flava zenye maudhui ya siasa please any suggestion
1. Wimbo wa Taifa 'Kala Jeremiah Ft Nakaaya (YouTube - Wimbo wa Taifa - Kala Jeremiah fet Nakaaya)
2. Ni wapi Tunakwenda (Mr II aka Sugu) (please mwenye link ya huu wimbo naomba)
any more suggestions please - also kama kuna mwenye Yamenikuta Mzee Mwenzangu (Mr II ft GWM) naomba although hii sio pure siasa ila iko patriotic
Roma - Tanzania. Halafu kuna wasanii kama wanaume TMK, Diamond, Tip top na wale wa THT wamegeuza nyimbo zao zilizofanya vizuri na kuwa za siasa. Album yao imeandikwa 'Kikwete 2010, bongo fleva zaidi' nadhani pale Lumumba bado watakuwa nazo, free of charge.
<b>'Kikwete 2010, bongo fleva zaidi'</b> I think this i will put it on the worse (mbaya mbaya zaidi, haifai<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/tape.gif" border="0" alt="" title="Tape" smilieid="297" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/doh.gif" border="0" alt="" title="Doh" smilieid="169" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S angry.gif" border="0" alt="" title="A S Angry" smilieid="105" class="inlineimg" />) record of the century wamefanya tunes nilizokuwa nazipenda nizichukie.
Sitamani hata kuona picha yake achilia mbali video zake huyo binki wa kiarusha, ameniheart sana, nilimwamini na kumwona kuwa ni mmoja wa mabinti jasiri sana hapa bongo, kumbe hakuwa na lolote zaidi ya kujinafikisha na kulalama kwingi ili aonewe huruma. Kumbe yuko kimaslai zaidi kuliko utaifa na nyimbo anazoimba ni tofauti na matendo yake kabisa..kwendaaaaaaaaaaa