Mtoa mada asante kwa posti, ila ina kaujinga fulani hivi.
Gari zote ni left hand.
Na hiyo ground clearance makes it obsolete for African roads!
Ni sawa na kusifia keki kati ya wala chapati.
Mercedes kiujumla ni gari tamu sana. Mie napenda zaidi W140 ndio naona ipo very comfortable na ina very smooth acceleration.
Mkuu bodi za "saloon wagon" zikoje?Kiukweli gari nazionaga tu lakini in fact sipendi gari zenye muundo wa tax.... Sijui kwa nn. Mungu akinijalia nitanunua tu bodi za saloon wagon.
Kwa upande gari alizotengeneza vizuri ni land cruiser hardtop ( mkonga), Toyota DCM ( hizi gari zina roho ya paka
Kwa gari ya kutembelea, corolla limited na rav 4 old model ya mwaka 1996 ni gari nzuri sanaLand cruiser hard top zimekuwa zikikimbiza Mwenge Nchi nzima Miaka kibao lakin bado ziko Vizuri
Toyota DCM kwa zaid ya Miaka 20 zinaendeshwa na Wavuta Bhangi wa Mbagala na Gongolamboto na zinachezwa rangi zote lakin bado zipo tu!