Hii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Mzee Athumani Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu..
Maneno kumiHii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Mzee Athumani Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu...
Mtafute anajua *******Who is this?
Kianduka tena 😀Naomba radhi nilikosea kianduka jina mkuu.
Duh
Jamaa anajua sanaHalafu jamaa hata hatumii nguvu
Huyu maneno kumi hazingatiwi tu..ni Muongo sijapata sikia..huyu jama ana reflect kabisa tabia ya Kaka yangu aisee...😀😀😀Maneno kumi
Mjomba kazoa
Ringo
Mzome
Vipi kuhusu marehem Janguo?Hii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Amri Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu...
🤣 Usinigombanishe na watuMtu ambaye bado anachekeshwa na ;
Joti
Masanja
Mtanga
Bambo
Mimi nisemeje sasa ndg yangu😂
Kuna jamaa anaitwa Masantula huwa namkubali sana yuleHii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Amri Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu...
ama kweli watanzanear mna stress... hapo wengine washakufa lakini wanaambiwa watafute kazi nyingine..😭😭😭Kuwachekesha watanzania kwa sasa ni jambo lisilowezekana. Hao wazee bora watafute kazi ya maana, muda unasonga