MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Habari zenu wana jamvi,leo nimewiwa kuleta hii maada ili tuweze kupata ufafanuzi zaidi kuhusu mabadiliko ya katiba katika nchi za EAST AFRICA,tunataka kujua ni katiba ipi inayoongoza kwa kufuata UTAWALA WA SHERIA{THE RULE OF LAW},UHURU WA MAHAKAMA{INDEPENDENCY OF JUDICIARY},MGAWANYO WA MADARAKA{SEPARATION OF POWER} na kama hakuna basi azungumzie the ISSUE OF CHECKS AND BALANCE.Tukianza na Uganda na Tanzania.
Karibu
Karibu