Endocrinologist ni madaktari waliobobea kwny magonjwa ya hormones za mwili-ambazo ni nyingi sana, ilaugonjwa wa kisukari pia ukiwepo. Hii ni super speciality, yaani inabidi daktari awe amesomea kwanza udaktari bingwa wa magonjwa ya ndani au ya watoto (yaani awe physician au pediatrician) halafu ndo awe endocrinologist. Kwa hapa Tanzania, sina uhakika ila sidhani kama wapo..Nashauri kama ni mtoto chini ya miaka 12 umwone Pediatrician-daktari wa watoto au kama ni zaidi ya hapo uwaone physicians!
Kwani ana tatizo gani hasa?