The best engineers

The best engineers

Joined
Dec 3, 2012
Posts
17
Reaction score
0
Hivi ni chuo gani hapa Tanzania ambacho atleast kinatoa waandisi bora katika fani zifuatazo ambazo ndio marketable hapa bongo;
1.CIVIL ENGINEERING
2.ELECTRICAL ENGINEERING
3.MECHANICAL ENGINEERING
4.TELECOMMUNICATION ENG
Je ni;
1.ARDHI
2.ARUSHA TECH COLLEGE(ATC)
3.DIT
4.MIST
5.UDSM
6.SAUT
7.ST.JOSEPH?
 
Any of the above! Akili yako na bidii vinamata!

ni kweli personal skills and eforts are very important for any kind of success lakini pia kuna factors ambazo ni lazima kuangalia kama learning material,workshops na walimu wazuri na wenye uzoefu katika field hii!! Mbona waandisi wengi wa kizungu wanafanya mambo mazuri au ndio tuseme wanaakili sana kuliko watanzania?
 
Engineering ni feature nzuri sana hakuna nchi iliyoendelea au itakayoendelea bila kuwa na ma-engineer wazuri especially civil engineers(huyu ndio father of engineering) lakini kwa hapa kwetu vyuo vyetu bado vinamapungufu makubwa mno!! Vyuo vyote naona almost viko sawa tu hapa bongo!!
 
kaka kuwa marketable ni akili yako na perfomance si chuo, Tanzania tuna vyuo vikongwe ambavyo vimesaidia sana kuzalisha engineers wanaotamba kama udsm na dit nilikopita hata mie zamani dar tech elimu yetu ya kawaida sababu hatuproduce components za kutumia katika practicals zote zinatoka nje(e.g electronics compents diode resistors capacitors etc)
 
mkuu ulichokisema ni sahihi kabisa lakini kwa upande wa perfomance ninavyoelewa perfomance ya kazi inategemea sana good background knowledge tofauti na academic perfomance(examination performance) ninachoamini ni kwamba engineer wa SAUT (sina nia ya kubeza chuo lakini) ambapo hakuna workshop hawezi kuwa sawa na engineer wa UDSM
 
Hivi ni chuo gani hapa Tanzania ambacho atleast kinatoa waandisi bora katika fani zifuatazo ambazo ndio marketable hapa bongo;
1.CIVIL ENGINEERING
2.ELECTRICAL ENGINEERING
3.MECHANICAL ENGINEERING
4.TELECOMMUNICATION ENG
Je ni;
1.ARDHI
2.ARUSHA TECH COLLEGE(ATC)
3.DIT
4.MIST
5.UDSM
6.SAUT
7.ST.JOSEPH?
awali ya yote hatunaga waandisi bali ni wahandisi!!!! na kwenye heading umeweka engineer wakati unaongelea engineering...all the same..fani za uhandisi zote ni marketable ila inategemea sana muda na wakti uliopo!! huwezi sema soko la TEL la mwaka 2000-2005 na la sasa ni sawa! bila sahaka civil,ELE,MECH bado zipo juu...lakin kwa wakati huu ni lazima uongelee sana maswala ya agriculture engineering,bio-prossesin and post harvest engineering,irrigation and water resources engineering za SUA,MIST na ST JOSEPH,NYINGI ya kozi hizo ni changa na ni dhahiri hata soko lake halijasaturate kama kozi nyingine,ni LAZIMA ziwe na soko hasa kwa sasa na baadae!!
kwenye swala la wahandisi bora..
ni ngumu kutoa jibu la moja kwa moja maana inategemea na ubora wa chuo na mwanafunzi mwenyewe..ila kwa upande wa uhandisi wa ujenzi na teknolojia ST JOSEPH,COET NA DIT wanaongoza...na kwa upande wa uhandisi kilimo(na fani zinazofanana na hii) SUA bado inaongoza kwa hapa tz! nawasilisha...
 
Kuna discussion moja iliwahi kutokea hapa ya wahandisi bora wanatoka chuo gani...katika maisja yangu ya kazi naona kama ni individual skills and determination that matter kuliko chuo gani mtu alisomea.
 
ahsante kwa kunirekebisha kaka!!
Lakini kuhusu Agricultural engineering hapa bongo naona ni baadae what government give is just encouragement with some political slogans like "kilimo kwanza" but no supportive attitudes while most employee in this sector are very poor and they need special attention!!
 
nimekuelewa mkuu!! Kwahiyo naweza kusema vyuo vyote are nearly equal but what matter is just the individual skills!
 
Ukipewa nafasi ya kusoma chochote kile unachokipenda, hakikisha unakielewa na kujiandaa vilivyo kukitumia mbele ya safari. Hakuna hadithi za kusoma this or that kama utaishia kuwa unproductive. The world resonates around people who are willing to pay the price of embracing the changes.
 
awali ya yote hatunaga waandisi bali ni wahandisi!!!! na kwenye heading umeweka engineer wakati unaongelea engineering...all the same..fani za uhandisi zote ni marketable ila inategemea sana muda na wakti uliopo!! huwezi sema soko la TEL la mwaka 2000-2005 na la sasa ni sawa! bila sahaka civil,ELE,MECH bado zipo juu...lakin kwa wakati huu ni lazima uongelee sana maswala ya agriculture engineering,bio-prossesin and post harvest engineering,irrigation and water resources engineering za SUA,MIST na ST JOSEPH,NYINGI ya kozi hizo ni changa na ni dhahiri hata soko lake halijasaturate kama kozi nyingine,ni LAZIMA ziwe na soko hasa kwa sasa na baadae!!
kwenye swala la wahandisi bora..
ni ngumu kutoa jibu la moja kwa moja maana inategemea na ubora wa chuo na mwanafunzi mwenyewe..ila kwa upande wa uhandisi wa ujenzi na teknolojia ST JOSEPH,COET NA DIT wanaongoza...na kwa upande wa uhandisi kilimo(na fani zinazofanana na hii) SUA bado inaongoza kwa hapa tz! nawasilisha...

Any issue related with water resource management, waste management, Architecture - ARDHI University wapo safi sijui product za sasa maana sasa hivi wameongeza tena kozi hizi za wapenda kuvaa vitop
 
ahsante kwa kunirekebisha kaka!!
Lakini kuhusu Agricultural engineering hapa bongo naona ni baadae what government give is just encouragement with some political slogans like "kilimo kwanza" but no supportive attitudes while most employee in this sector are very poor and they need special attention!!
siwezi pinga usemacho!!! lakin mpaka kuandika hivyo ni kwamba nnajua na nnaona pia!! mwaka wa nne wote wa mwaka jana na mwaka huu karibu wote wako kazin sasa!! najua siasa ipo na INAAHARIBU fani nyingi lakin kuhusu uhandisi kilimo ni kwamba it pay much...japo na hizo ulizosema pia zimesoko lakini la kilimo bado liko juu pia
 
hakuna nchi iliyoendelea bila mapinduzi ya kilimo hata uingeleza iliendela kiviwanda baada ya mahitaji makubwa ya kilimo ukisoma vizuri theory za kina lewis model utafaham vizuri best engineering kwa sasa TANZANIA ni hizi 1.AGRICULTURE ENGINEERING 2.IRRRIGATION AND WATER RESOURCE ENGINEERING 3. BIO PROCESSING AND POST HARVESTING ENGINEERING...zinapatikana SUA na baadhi ya vyuo kama ST.JOSEPH sio kama nazisifia bali ndo ukweli kwa sua wamejipanaga kwani wanapiga workshop ya maana yaan graduands wanatoka kama proofessional na wankimbilia sana na private sector
 
Best engineer is an Engineer who can build a structure for a tiny fraction of the cost which any other fool will incur. I ve always admired the elegance of a reinforced concrete arch dam over bulkiness and wastefulness of a gravity dam.
 
The best engineer is the one who can control water,wind,storm,earthquick & any other human mankinds related phenomena.
 
Back
Top Bottom