COMPLEX NUMBERS
Member
- Dec 3, 2012
- 17
- 0
Any of the above! Akili yako na bidii vinamata!
kaka kuwa marketable ni akili yako na perfomance si chuo, Tanzania tuna vyuo vikongwe ambavyo vimesaidia sana kuzalisha engineers wanaotamba kama udsm na dit nilikopita hata mie zamani dar tech elimu yetu ya kawaida sababu hatuproduce components za kutumia katika practicals zote zinatoka nje(e.g electronics compents diode resistors capacitors etc)
awali ya yote hatunaga waandisi bali ni wahandisi!!!! na kwenye heading umeweka engineer wakati unaongelea engineering...all the same..fani za uhandisi zote ni marketable ila inategemea sana muda na wakti uliopo!! huwezi sema soko la TEL la mwaka 2000-2005 na la sasa ni sawa! bila sahaka civil,ELE,MECH bado zipo juu...lakin kwa wakati huu ni lazima uongelee sana maswala ya agriculture engineering,bio-prossesin and post harvest engineering,irrigation and water resources engineering za SUA,MIST na ST JOSEPH,NYINGI ya kozi hizo ni changa na ni dhahiri hata soko lake halijasaturate kama kozi nyingine,ni LAZIMA ziwe na soko hasa kwa sasa na baadae!!Hivi ni chuo gani hapa Tanzania ambacho atleast kinatoa waandisi bora katika fani zifuatazo ambazo ndio marketable hapa bongo;
1.CIVIL ENGINEERING
2.ELECTRICAL ENGINEERING
3.MECHANICAL ENGINEERING
4.TELECOMMUNICATION ENG
Je ni;
1.ARDHI
2.ARUSHA TECH COLLEGE(ATC)
3.DIT
4.MIST
5.UDSM
6.SAUT
7.ST.JOSEPH?
awali ya yote hatunaga waandisi bali ni wahandisi!!!! na kwenye heading umeweka engineer wakati unaongelea engineering...all the same..fani za uhandisi zote ni marketable ila inategemea sana muda na wakti uliopo!! huwezi sema soko la TEL la mwaka 2000-2005 na la sasa ni sawa! bila sahaka civil,ELE,MECH bado zipo juu...lakin kwa wakati huu ni lazima uongelee sana maswala ya agriculture engineering,bio-prossesin and post harvest engineering,irrigation and water resources engineering za SUA,MIST na ST JOSEPH,NYINGI ya kozi hizo ni changa na ni dhahiri hata soko lake halijasaturate kama kozi nyingine,ni LAZIMA ziwe na soko hasa kwa sasa na baadae!!
kwenye swala la wahandisi bora..
ni ngumu kutoa jibu la moja kwa moja maana inategemea na ubora wa chuo na mwanafunzi mwenyewe..ila kwa upande wa uhandisi wa ujenzi na teknolojia ST JOSEPH,COET NA DIT wanaongoza...na kwa upande wa uhandisi kilimo(na fani zinazofanana na hii) SUA bado inaongoza kwa hapa tz! nawasilisha...
Kuna discussion moja iliwahi kutokea hapa ya wahandisi bora wanatoka chuo gani...katika maisja yangu ya kazi naona kama ni individual skills and determination that matter kuliko chuo gani mtu alisomea.
nimekuelewa mkuu!! Kwahiyo naweza kusema vyuo vyote are nearly equal but what matter is just the individual skills!.
du tuna chuma liganga lakini twaagiza turkey.
nimekuelewa mkuu!! Kwahiyo naweza kusema vyuo vyote are nearly equal but what matter is just the individual skills!
awali ya yote hatunaga waandisi bali ni wahandisi!!!! na kwenye heading umeweka engineer wakati unaongelea engineering...all the same..fani za uhandisi zote ni marketable ila inategemea sana muda na wakti uliopo!! huwezi sema soko la TEL la mwaka 2000-2005 na la sasa ni sawa! bila sahaka civil,ELE,MECH bado zipo juu...lakin kwa wakati huu ni lazima uongelee sana maswala ya agriculture engineering,bio-prossesin and post harvest engineering,irrigation and water resources engineering za SUA,MIST na ST JOSEPH,NYINGI ya kozi hizo ni changa na ni dhahiri hata soko lake halijasaturate kama kozi nyingine,ni LAZIMA ziwe na soko hasa kwa sasa na baadae!!
kwenye swala la wahandisi bora..
ni ngumu kutoa jibu la moja kwa moja maana inategemea na ubora wa chuo na mwanafunzi mwenyewe..ila kwa upande wa uhandisi wa ujenzi na teknolojia ST JOSEPH,COET NA DIT wanaongoza...na kwa upande wa uhandisi kilimo(na fani zinazofanana na hii) SUA bado inaongoza kwa hapa tz! nawasilisha...
siwezi pinga usemacho!!! lakin mpaka kuandika hivyo ni kwamba nnajua na nnaona pia!! mwaka wa nne wote wa mwaka jana na mwaka huu karibu wote wako kazin sasa!! najua siasa ipo na INAAHARIBU fani nyingi lakin kuhusu uhandisi kilimo ni kwamba it pay much...japo na hizo ulizosema pia zimesoko lakini la kilimo bado liko juu piaahsante kwa kunirekebisha kaka!!
Lakini kuhusu Agricultural engineering hapa bongo naona ni baadae what government give is just encouragement with some political slogans like "kilimo kwanza" but no supportive attitudes while most employee in this sector are very poor and they need special attention!!