Vipi kuhusu madisco yale ya shule???? Yalikuwa na utata pia yale
Usinikumbushe wasichana wa Msalato mie...huh!
Babu unashtakiwa kwa kosa la kunilazimisha kuchyeka mjukuu wako!!Umesahau kitu kimoja
Ambition: To be the MINISTRY or the PRESIDENCY
Tulikuwa seminary pale moshi tunapelekwa kibosho galz na mapadre kwa debate only nikifika pale mbele nasahau hata na motion ilikuwa inasema nini, siunajua tulikuwa hatuna hata mwalimu mwanamke?
Pole kajukuu kangu!Babu unashtakiwa kwa kosa la kunilazimisha kuchyeka mjukuu wako!!
Leo Kitukuu chako kimetimiza miaka yake kadhaa!! (Ila hakuna keki!! usije)
maisha yalikuwa tambarere.....unabomu homu wankutumia vijisenti chap chap maana upo mabli na hm!!!
we had nothing to worry about......sasa majukumu mpaka pomoni hata bongo fleva tu siwezi kukariri mistari.....
I had one nimecheka sana hizo siku da! life was life
Kipindi hicho sasa wadau main means of communication ni sanduku la posta la shule tuu. Nyumbani inakuw ishu mzee akidaka barua yenye bahasha iliyorembwa na malovelove kibao mioyo yenye mikuki............................perfume sijui.......................
best food - chips mayai
best song - roses are red
best trousers - savco/jackson
best shoes - DH
best fruit - mabungo
best pen - laska
Kipindi hicho sasa wadau main means of communication ni sanduku la posta la shule tuu. Nyumbani inakuw ishu mzee akidaka barua yenye bahasha iliyorembwa na malovelove kibao mioyo yenye mikuki............................perfume sijui.......................
Dah!
Mi ilikua nikienda paredi natega sana sikio kiranja anaposoma barua pale mbele. Na ukipata barua tu, sherehe bwenini.
Tamu zaidi, siku hiyo umepokea barua, jioni ratiba inasema msosi ni wali.
Loh nakuambia maandalizi kwanza unaoga maana si unajua tulikua milimani baridi kule. Huogi mpaka siku flaniflani spesho.
If i culd tan bak th hends ov taim! Lol
Yaani hakuna kama the good old days... nakumbuka tulikuwa tunanunua mabumunda kitaa... sasa hapo shati umekunja mikono, una kibegi cha jeshi na umenyoa push-beki!!Nyie watu vivuli mmenikumbusha mbali kweli ah. That was life bana!!
excuse me? we msazengo nini? du, usinikumbushe disko za mazengo mwisho saa 12 na tunapanda lori letu haooooooooooo huku tunaimba, dereva weetu ongeza mwendo, tunakupenda, yani ilikuwa full mcharuko lol!Usinikumbushe wasichana wa Msalato mie...huh!
Yaani hakuna kama the good old days... nakumbuka tulikuwa tunanunua mabumunda kitaa... sasa hapo shati umekunja mikono, una kibegi cha jeshi na umenyoa push-beki!!
wikendi umechapa shati la ujiuji kubwaaaaa ndo usiseme
gademu!