The best.....enzi za form two hizo

hili la barua hili, dah we acha tu, mtu ulikuwa unapata mfadhaiko usipopata barua. Yaani unajifungia dom wakati wa rollcall ya jioni ili tu usikie mtu akija mbio fulaniiiiiiii, barua zako mwe! na majina yale ya yanayobamdikwa notice board kwa waliotumiwa pesa, ukikuta jina lako halipo amani yaote inapotea lol!
 

Hahaaaaaa,umenikumbusha mbali sana Nguli...Sema tu haya mambo ya mawebsite hayakuwepo enzi hizo...Pia kuna kipengele cha Nickname umekisahau aisee....Pia kulikuwa na kakipengele ka best ujumbe(msg) mfano...'A boy without a girlfriend is like a tea without sugar'....hahaaaaa..lol
 
We usikute umesoma ile seminary nayojua mie.
Duuh midomo ilikuwa inageuka kuwa zege Nguli na visichana vya kibosho galz vikitabasamu kila saa
..JS, umenikumbusha visichana vya kibosho.Headmistress wao aliitwa sister Consolata alikuwa mkali kweli ukileta maskhara na vibinti vyake!!
 
Kuna wimbo wa Joe Thomas ulivuma sana tulikuwa tuanimbaga tukienda King'ori kulima maharage ...I dont wanna be a player.....

Nikiwa form one nilikamatwa nazungumza lugha ya taifa la TZ nikapewa adhabu jioni wakati wa chakula Kiranja mkuu alismesema nguli u will wash table number 1-4 ni mameza makubwa kweli na madish duuu! nikasimama kukoo kimya kwa sauti yangu ya utoto....me swahili dont u me english only sir speak....akaniongezea tena moja akasema broken english....sitomsahau yule jamaa alikuwa anaitwa Mayunga
 
Tulikuwa seminary pale moshi tunapelekwa kibosho galz na mapadre kwa debate only nikifika pale mbele nasahau hata na motion ilikuwa inasema nini, siunajua tulikuwa hatuna hata mwalimu mwanamke?
Ulikuwa Maua nn!??Maana wale kwa debate hatari kabisa..walitutisha..nakumbuka tulienda tukiwa form 1...na mimi ndo nilikuwa speakeer wa mwisho. aah kwa jinsi walivyokuwa wanainterrupt..nikagoma kuongea!
utasikia;"To open the eyes of the speaker"
au;"To bring the speaker back to the navel of the motion."..afu basi tu kukuintimidate!chairpesron anawaambia;"denied!"
duh the auld lang syn-good old days!!!!!
 
Jamani nimecheka sana leo shemeji nguli uwiiii mbavu zinaniuma
 

ha ha ha, umesahau na ku crame maneno magumu tulikuwa tunaita bombasyic vocals nahisi hata Bluray alisoma huko, mtu akianza tu kuongea utasikia thank u mr speaker & u jambarastic gymnasium symposium at this particluar juncture I great u all hata kama ulikuwa unajiandaa kumpinga unaogopa utaanzaia wapi. I miss those days.

Jamani nimecheka sana leo shemeji nguli uwiiii mbavu zinaniuma


karibu shemeji ndio masisha hayo nayamiss
 
Ulikuwa ukikosa barua kutoka kwa marafiki kwa wiki unajihisi vibaya sana.
Nguli, enzi zetu kama ulikuwa huna wa kukuandikia barua, ulikuwa unajiandikia mwenyewe ili na wewe uende angalau mbele ya "asemble".
 

alafu iwe ndo a few weeks before mfunge shule.....mai mai mai unalia mpaka maza hom anasikia......antuma kwa EMS!!!!
 




Jamani mie ntafukuzwa kazi mwenzenu shem basi inatosha loh
Na kwa wale waliosoma seminary- kusalisha njuka au kutuma amoeba dukani na change irudi!
 
Nguli, enzi zetu kama ulikuwa huna wa kukuandikia barua, ulikuwa unajiandikia mwenyewe ili na wewe uende angalau mbele ya "asemble".

Mimi nilikuwaga napata barua nyingi hasa nikienda kwenye debate kibosho galz na weruweru halafu msichana huyo huyo unakuta kaandika kibao pia kwa marafiki zangu anajaribu kukucheki kama unamsimamo ukijibu tu kwa kupanic i love uu sijui nini wanaibandika ukutani bwenini wanakucheka weeee! Nilikuwa sijibu nisije chemka
 

Lakini mlikuwa "Mapadri" watarajiwa! Hii ilikuwaje, ndo maana mlichomoka?
 
Lakini mlikuwa "Mapadri" watarajiwa! Hii ilikuwaje, ndo maana mlichomoka?

kweli kabisa hata hivyo mimi ni padre bora wa familia yangu, ila sio padre wa kanisa.
 
Best Music; Should i say yes,should i say no?
Best School; Loss angeles (loleza)
 
Last word: KLM "keep loving me" duh!! nikikumbuka natamani nirudi huko.
 
Yaani hakuna kama the good old days... nakumbuka tulikuwa tunanunua mabumunda kitaa... sasa hapo shati umekunja mikono, una kibegi cha jeshi na umenyoa push-beki!!

wikendi umechapa shati la ujiuji kubwaaaaa ndo usiseme

gademu!
Kuna ile style ina inaitwa saratoga au kibwenzi, watu walikuwa wanaonekana wakishua kweli
 
ya ukweli sana...........
Imenikumbusha enzi hizo ninakishtobe changu kikali mno,
kinatinga roso halafu juu kimesuka yondo sista maji ya moto.....
Tunaruka sana debe enzi hizo....
Ilikuwa tunajinoma ile kinomanoma

kishtobe kavaa soncha na mkanda wa plastiki mwekundu. Muziki wa yekeyeke, fanta wangu, welcome form one. Form two wanshindana kuopoa form one. Balaa ukutane na baunsa form three au four anammendea demu huyo huyo!!!
 
Guys those were the good old days that will never come back
Natamani kurudia that age sometimes lol!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…