The Best FIFA Football Awards 2019: Messi atwaa tuzo ya Mchezaji bora, Klopp awa Kocha bora

Kwahiyo mkuu unataka kutuaminisha kuwa La Pulga hakustahili?
kama mpira ni magoli pekee basi alistahili.
kama tunaangalia vigezo vyenginevyo basi hakustahili.
jamani liverpool msimu uliopita walicheza vizuri sana, kwenye kikosi walistahili kuingiza angalau wachezaji wanne.

allison
robertson
van virgil
sadio mane or salah or firmino or fabinho
 
Lionel Messi last season(2018/2019):

Europe top scorer[emoji818]

Barcelona top scorer[emoji818]

Champions League top scorer[emoji818]

La Liga top scorer[emoji818]

Barcelona most assists[emoji818]

La Liga most assists[emoji818]

Most La Liga MOTM awards[emoji818]

Most UCL MOTM awards[emoji818]

Most chances created[emoji818]

Most goal contributions in the top 5 leagues[emoji818]

Most points won for his team in the top 5 leagues[emoji818]

Most free-kick goals[emoji818]

Most braces[emoji818]

Most hat-tricks[emoji818]

Top scorer Vs Top 6 EPL teams[emoji818]

Contributed to 74/96 team[emoji818]

goals [emoji818]

UCL most man of the week[emoji818]

UCL best Forward[emoji818]

UCL goal of the tournament[emoji818]

Pichichi award(la liga golden shoe) [emoji818]

6th European Golden shoe 2019(record)[emoji818]

Most goals outside box[emoji818]

La Liga MVP[emoji818]

ESPY Best international Men's

Soccer Player of the year[emoji818]
 
mkuu hayo yote kwa lionel messi si maajabu tena kwake kuyafanya.

wesley sneijder
frank ribery
van virgil
andres iniesta and xavi

hawa wanadamu kwa nyakati tofauti wameshindwa kutendewa haki
 

Mpira si magoli pekee kwa maoni yangu ni Perfomance mzima kwa msimu wote.

Kwa wachezaji walioingia tatu bora hakukuwa na mchezaji mwenye perfomance bora zaidi yake, kitu ambacho FIFA nimeona hawakuwa fair ni kutoingia kwa Bernado Silva kwenye kinyang'anyiro hicho.

Kwa maoni yangu Bernado Silva ndio alistahili kuwa mchezaji bora kwa mwaka huu, takwimu zinambeba.

Kuhusu Virgil, hapana, hakustahili hata kuingia tatu bora hapo, kuna tofauti kubwa sana kati ya mchezaji anaekimbia kilometre 8 uwanjani na anaekimbia kilometre 3 uwanjani.

Kwa ushauri wangu ningekuwa kwenye bodi ya fifa mabeki na makipa tungewatengenezea tuzo zao kwakuwa hawa kazi yao si kubwa na ndio maana hawaonekani kwenye vingang'anyiro kama hivi.

Fabio Cannavaro alipata bahati tu kupata ile tuzo mwaka 2006 ila hakustahili na ile tuzo ilibidi iende kwa Zinedine Zidane.
 
Kweli kama modric ,Marcelo wamefanya nn msimu uliopita
Hahahahahahahahah ni kama vile kuna mikataba wameshaingia na hivi vilabu FIFA,Haiwezekani eti Marcelo alikuwa bora kuliko Robertson, wamemtafutia Ramon nafasi mpaka wamempenyeza position ya Right back Serious, ilimradi tu na Yeye awemo,Unamuwekaje Modric unamuacha B Silva kwa kigezo kipi.
 
Hicho kikosi cha FIFA nacho hovyo,wale madogo wa Liverpool Robertson na Alexander wanastahili kuwepo kwenye kikosi cha FIFA.

Marcelo na Ramos kwangu mimi hawa stahili kuwemo,hata Luca Modric nae hastahili kuwemo kwenye kikosi cha FIFA.
 
mkuu hayo yote kwa lionel messi si maajabu tena kwake kuyafanya.
wesley sneijder
frank ribery
van virgil
andres iniesta and xavi
hawa wanadamu kwa nyakati tofauti wameshindwa kutendewa haki

Mkuu tuache unafiki, Nje ya kubeba uefa virgil is nothing, perfomance yake huwezi ilinganisha hata na Bernado Silva, Virgil hakustahili hata kidogo, tena hata kuingia kwenye top 3 naona ni jambo la kushangaza kwangu mimi, kuna wachezaji walistahili hiyo nafasi, Mfano Sadio Mane kwa liverpool na sio virgil.

Kwakuwa mpira ni mchezo wa namba basi namba zinambeba sana Messi than hao top 3 ambao aliingia nao yaani Virgil na Cr7, hata kama hatumpendi la pulga na tumechoka kumwona hiyo haifanyi perfomance yake tuifumbie macho.

Kitu tunachotakiwa kujua ni kuwa kuwa mchezaji bora ni perfomance na sio kuchukua makombe, Chelsea 2012 walibeba uefa ila katika team yao hakuna hata mchezaji mmoja alieingia kwenye hata 11 eleven ya fifa.

So tusizunguke mbuyu, the man deserve it kwa kiwango chake mwaka huu.
 
Wamepuyanga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…