Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Vigjik ndio nani mkuu? Mchezaji mpya nini hapo Mbao Fc?fifa wanazingua sana.... vigjik kakosa aiseee.... japo amebeba uefa.... kudadeki..
kwani Mane, Salah na firmino hawajabeba UEFA?fifa wanazingua sana.... vigjik kakosa aiseee.... japo amebeba uefa.... kudadeki..
Kwa kweli jana FIFA wamechemka, mimi mpaka leo nashindwa kujuwa vigezo. Navyojuwa inaangaliwa msimu mzuri kwa mchezaji mwaka ule sio history. Ok ni kweli Messi ni mchezaji bora sana lakini hakufanya vizuri mwaka huu lakini wamempa na mbaya zaidi jana bahasha haijafunguliwa Messi kishafika nyuma ya stage je majibu yanapangwa? nisieleweke labda simkubali Messi hapana ni bora sana tu lakini sio mwaka huu. tuache huko FIFA 11 eti Marcelo kachaguliwa jamani kwa lipi? kuna full back 2 za Liverpool walikuwa bora kabisa mwaka huu. Marcelo??? team 4 za EPL zilikuwa final leo wanakuja wanasema wachezaji wawili wa Ajax sababu tu walikuwa na msimu mzuri kuisaidia Ajax nusu final sasa wale waliofikisha team zao final? Sadio Mane kaisaidia Liverpool ubingwa wa ulaya na Senegal final za Africa nje. kweli nimeamini Nike na Adidas ndio wanaushawishi mkubwa. ndio maana Ronaldo jana hata kwenda hakwenda utasema aliambiwa Messi atapewa ingekuwa VVD angeenda. FIFA watuambie tu vigezo ni nini? eti Modric sijui Marcelo kwa lipi hasa team zao wanapigwa bench hii kuwakosea heshima wachezaji wengine. Ramos alikuwa na msimu mbovu na Real eti beki bora hapana kwa maoni yangu jana sio sawa. Messi mchezaji mzuri duniani? Yes. je mwaka huu alikuwa best? NOBernado Silva amebeba - EPL, FA CUP, LEAGUE CUP na hilo kombe la UEFA ulilolisema tena yeye akiwa ndie mchezaji bora wa mashindano nani anastahiki zaidi?
andamana basiFIFA ni kama ccm????? Kipi cha maana alichofanya hadi atwae tuzo????!!1
Chama langu ni gwiji la rushwa.
Yuko ila hakwenda jana ndio maana wakataja wachezi kumi tu jamaa hataki ujinga yule. Vipi mtu kama Benardo Silva na Mane walikuwa na msimu mzuri sana tu wote nje.Dah ko cr7 hata kwenye kikosi bora cha fifa hayupo
Mbona hao UEFA hawakumpa? maana haya yote kayafanya Europe ije kuwa FIFA ambao hatujui vigezo vyao.Lionel Messi last season(2018/2019):
Europe top scorer[emoji818]
Barcelona top scorer[emoji818]
Champions League top scorer[emoji818]
La Liga top scorer[emoji818]
Barcelona most assists[emoji818]
La Liga most assists[emoji818]
Most La Liga MOTM awards[emoji818]
Most UCL MOTM awards[emoji818]
Most chances created[emoji818]
Most goal contributions in the top 5 leagues[emoji818]
Most points won for his team in the top 5 leagues[emoji818]
Most free-kick goals[emoji818]
Most braces[emoji818]
Most hat-tricks[emoji818]
Top scorer Vs Top 6 EPL teams[emoji818]
Contributed to 74/96 team[emoji818]
goals [emoji818]
UCL most man of the week[emoji818]
UCL best Forward[emoji818]
UCL goal of the tournament[emoji818]
Pichichi award(la liga golden shoe) [emoji818]
6th European Golden shoe 2019(record)[emoji818]
Most goals outside box[emoji818]
La Liga MVP[emoji818]
ESPY Best international Men's
Soccer Player of the year[emoji818]
Lionel Messi last season(2018/2019):
Europe top scorer[emoji818]
Barcelona top scorer[emoji818]
Champions League top scorer[emoji818]
La Liga top scorer[emoji818]
Barcelona most assists[emoji818]
La Liga most assists[emoji818]
Most La Liga MOTM awards[emoji818]
Most UCL MOTM awards[emoji818]
Most chances created[emoji818]
Most goal contributions in the top 5 leagues[emoji818]
Most points won for his team in the top 5 leagues[emoji818]
Most free-kick goals[emoji818]
Most braces[emoji818]
Most hat-tricks[emoji818]
Top scorer Vs Top 6 EPL teams[emoji818]
Contributed to 74/96 team[emoji818]
goals [emoji818]
UCL most man of the week[emoji818]
UCL best Forward[emoji818]
UCL goal of the tournament[emoji818]
Pichichi award(la liga golden shoe) [emoji818]
6th European Golden shoe 2019(record)[emoji818]
Most goals outside box[emoji818]
La Liga MVP[emoji818]
ESPY Best international Men's
Soccer Player of the year[emoji818]
Lionel Messi last season(2018/2019):Kwa kweli jana FIFA wamechemka, mimi mpaka leo nashindwa kujuwa vigezo. Navyojuwa inaangaliwa msimu mzuri kwa mchezaji mwaka ule sio history. Ok ni kweli Messi ni mchezaji bora sana lakini hakufanya vizuri mwaka huu lakini wamempa na mbaya zaidi jana bahasha haijafunguliwa Messi kishafika nyuma ya stage je majibu yanapangwa? nisieleweke labda simkubali Messi hapana ni bora sana tu lakini sio mwaka huu. tuache huko FIFA 11 eti Marcelo kachaguliwa jamani kwa lipi? kuna full back 2 za Liverpool walikuwa bora kabisa mwaka huu. Marcelo??? team 4 za EPL zilikuwa final leo wanakuja wanasema wachezaji wawili wa Ajax sababu tu walikuwa na msimu mzuri kuisaidia Ajax nusu final sasa wale waliofikisha team zao final? Sadio Mane kaisaidia Liverpool ubingwa wa ulaya na Senegal final za Africa nje. kweli nimeamini Nike na Adidas ndio wanaushawishi mkubwa. ndio maana Ronaldo jana hata kwenda hakwenda utasema aliambiwa Messi atapewa ingekuwa VVD angeenda. FIFA watuambie tu vigezo ni nini? eti Modric sijui Marcelo kwa lipi hasa team zao wanapigwa bench hii kuwakosea heshima wachezaji wengine. Ramos alikuwa na msimu mbovu na Real eti beki bora hapana kwa maoni yangu jana sio sawa. Messi mchezaji mzuri duniani? Yes. je mwaka huu alikuwa best? NO
UEFA ni Mama na FIFA ni BABA anarekebisha pale mama alipokoseaMbona hao UEFA hawakumpa? maana haya yote kayafanya Europe ije kuwa FIFA ambao hatujui vigezo vyao.
Kwa maana yako Baba huwa hakosei au sijakuelewa vizuriUEFA ni Mama na FIFA ni BABA anarekebisha pale mama alipokosea
Hapo ndipo Tabu inakuja.. but kikosi cha mwaka wamevurunda vibaya sanaMbona hao UEFA hawakumpa? maana haya yote kayafanya Europe ije kuwa FIFA ambao hatujui vigezo vyao.
Hii ni tuzo ya mchezaji bora, juhudi kubwa hasa ya mchezaji inaangaliwa.Bernado Silva amebeba - EPL, FA CUP, LEAGUE CUP na hilo kombe la UEFA ulilolisema tena yeye akiwa ndie mchezaji bora wa mashindano nani anastahiki zaidi?
Goli bora ni lipi Mkuu?Messi amekosa tuzo ya goli bora
Nashkuru!Lionel Messi last season(2018/2019):
Europe top scorer[emoji818]
Barcelona top scorer[emoji818]
Champions League top scorer[emoji818]
La Liga top scorer[emoji818]
Barcelona most assists[emoji818]
La Liga most assists[emoji818]
Most La Liga MOTM awards[emoji818]
Most UCL MOTM awards[emoji818]
Most chances created[emoji818]
Most goal contributions in the top 5 leagues[emoji818]
Most points won for his team in the top 5 leagues[emoji818]
Most free-kick goals[emoji818]
Most braces[emoji818]
Most hat-tricks[emoji818]
Top scorer Vs Top 6 EPL teams[emoji818]
Contributed to 74/96 team[emoji818]
goals [emoji818]
UCL most man of the week[emoji818]
UCL best Forward[emoji818]
UCL goal of the tournament[emoji818]
Pichichi award(la liga golden shoe) [emoji818]
6th European Golden shoe 2019(record)[emoji818]
Most goals outside box[emoji818]
La Liga MVP[emoji818]
ESPY Best international Men's
Soccer Player of the year[emoji818]
Walishawahi kuwa na hizo statistics? Tuletee hapa.mkuu hayo yote kwa lionel messi si maajabu tena kwake kuyafanya.
wesley sneijder
frank ribery
van virgil
andres iniesta and xavi
hawa wanadamu kwa nyakati tofauti wameshindwa kutendewa haki
Naaaaaam! Amestahili.Ukihisi umekwazika chukua glasi ya maji ushushieView attachment 1214539
Ni kichwa cha familia Uamzi wake ni wa mwishoKwa maana yako Baba huwa hakosei au sijakuelewa vizuri