Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AtiHiyo azam fc naipa Sony sugar ama bandari fc .Kariobangi sharks wanaweza kuigaragaza had bas
What!?
Unafanananisha timu iliyocheza club bingwa na vitimu visivyofahamika hata 😬😬😬What!?
Hii ni kweli kabisa 👏 👏 👏Best players wa Ligi ya Kenya wote wana Ndoto ya Kucheza Ligi ya Tanzania
Hao Azam ni mabingwa wa CECAFA miaka mitatu mfululizo.Hiyo azam fc naipa Sony sugar ama bandari fc .Kariobangi sharks wanaweza kuigaragaza had bas
Kweli aisee, ukianzia wakina Sserenkuma, Kagere, Kahata wote wana ndoto za kucheza bongo. E.A nzima hamna ligi inayolipa vizuri na miundo mbinu kama ya Bongo.Ata west Africa wanaomba kuja kucheza bongo. KMC leo wametoa mchoro wa ground lao watakalo jenga Mwenge.Best players wa Ligi ya Kenya wote wana Ndoto ya Kucheza Ligi ya Tanzania
Nyie ni stadium tu mnajua kujenga ila kwa michezo ni ZEROHao Azam ni mabingwa wa CECAFA miaka mitatu mfululizo.
Nyie mnajua kukimbia mbio tu kama vibaka..Nyie ni stadium tu mnajua kujenga ila kwa michezo ni ZERO