Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
Kwa ujumla hawa jamaa wa TTCL wamezidiwa na wateja na sasa wanataka kuwapunguza kwa nguvu ila ni ujinga kupandisha bei, cha msingi ni kupata wapinzani wao ili wawachukulie biashara yote
Araway
Waweza kujiunga na Africa Online, wameanzisha Broadband service kama hiyo ya TTCL lakini wao wanacharge kwa mwezi, Kuanzia Dola 40 na 80 na kuendelea hawana limit za download, hata ukitaka kushusha dunia nzima utashusha tu. Try them.
wana jf naomba ushauri wenu! ni enternate connection gani mnatumia ambayo inaweza kuwa cheap zaidi na mimi nijiunge nayo? kwa sasa natumia ttcl mobile lakiniwao wamepandisha gharama kutoka sh 50 kwa mb adi 100 kwa 1mb. inaniwia vigumu kuweza kudawnload pages kwa wingi, mnaniacha sana mwenzenu.naomba kama kuna mdau anayeweza kunisaidia japo kwa ushauri nipo tayari kuupokea.
nawakilisha
TTCL mimi binafsi nilienda kutaka wanionganishie internet nyumbani! nikajaza forms , nikachora ramani...wakasema they will call in a week (this was july 2008!!!)..hadi leo sijawasikia..kwa sasa natumia zantel..way more convenient...nawashauri muende huko...lakini kama kuna wadau wanajua dili nzuri zaidi please keep us updated coz the age of ict is here...we cant run!
Zantel cost zake zikoje??
Zantel ni 120Tshs mbps ila ukitaka "UNLIMITED SERVICE" yao check web yao ::: www.zantel.com :::
for terms n condition
www.africansignals.com
African Signals is a site dedicated to finding out and showing local rates for mobile phone and internet connections around Africa.
service internet kwa njia ya wireless toka CATTS-NET ni USD 250 kwa miezi sita.
kwa kifupi viongozi wa tanzania hufikiria very stupidly!!
wanadhani wakipandisha gharama za vitu kila kukicha ndio kukua kwa uchumi ...,au ndio sense of superiority..,au ndio kupanda kwa GDP!!mie nashindwa kuelewa kabisa yani hivi wanatumia ubongo au??
asilimia 70 ya consumer comodities tanzania ziko kwenye price range ya europe or even more!!!sasa najiuliza kitu kimoja...,does tanzanians earn more than europeans??
why the hell do we even try to compare??kuna tatizo gani kilo ya mchele ikauza shilingi mia moja??hata kama europe inauzwa sh 2000??
yani crude oil ikipanda 2% kale kacnhi ketu watu wanapandisha bei 100%!!why???
najua east africa hakuna internet/telecommunication backbone(which is under construction indian ocean) but why the hell do we go for expensive alternatives always???why??