The best model of Toyota Vitz

The best model of Toyota Vitz

ABBY HAMZA

Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
66
Reaction score
34
Habari zenu ndugu wana jf,naomba kuuliza ktk matoleo mbalimbali ya toyota vitz 1.3 L,model ipi imesimama zaidi kuliko mengine nazungumzia ktk ubora wake zaidi
 
1479107294755.jpg
1479107314032.jpg
 
Kama walivyosema wadau hapo juu. Uzuri wa Vitz kuna vitu kibaaaaaoooooo. Ntaviorodhesha siku ingine.
 
Sasa si uorodheshe hivo vitu sasa hivi
Gari yenye shock up nzuri sana kwenye category ya under 1500 cc engine.
Easy to maintain plus running it, that means low cost.
RS inaweza kusafiri umbali mrefu tofauti na zile Vitz ndogo ambazo alternator zake zinazinguaga zikisafiri umbali mrefu
 
Back
Top Bottom