ABBY HAMZA
Member
- Aug 28, 2016
- 66
- 34
Sasa si uorodheshe hivo vitu sasa hiviKama walivyosema wadau hapo juu. Uzuri wa Vitz kuna vitu kibaaaaaoooooo. Ntaviorodhesha siku ingine.
Gari yenye shock up nzuri sana kwenye category ya under 1500 cc engine.Sasa si uorodheshe hivo vitu sasa hivi
Watu kwa dharau,Mwanaume mzima unawaza vigari vya watoto!!
Acha dharau bwana. kama una pesa we kaa zako tu kimya mkuu. Hujavutwa kamba uje kuchangia.Mwanaume mzima unawaza vigari vya watoto!!
Usikute huna hata baiskeli....Mwanaume mzima unawaza vigari vya watoto!!
Bei yake ?