The Best Of KLHN

The Best Of KLHN

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Tunaendelea na majaribio kwenye klhnews na muda huu nimeanza kurusha mchanganyiko wa nyimbo na baadhi ya mahojiano na matangazo niliyoyafanya huko nyuma. Wote mnakaribishwa kusikiliza. Zaidi napenda kujua kama watu wa Tanzania wanaweza kutusikia vizuri au yatupasa tubadilishe frequencies zetu.
 
hakuna anayesikiliza kutoka Tanzania.... nimesikia watu wa China na Japani...
 
Ninataka kusikiliza hiyo KLHN lakini sijui niipate wapi, naomba link basi ili niipate!
 
Mzee Mwanakijiji nimeidaka KLH news International Big Up.
 
Cheers again dude infact I was able to leave a comment in your guestbook infact I will register myself tommorrow coz I have to run somewhere run now.I have commitments.
 
pouwa tutarudi hewani baada ya muda si mrefu na taarifa yetu ya mchana saa saba EST sawa na saa mbili za usiku EAT...
 
Nkamu..nenda kwa post ya Mzee Mwanakijiji ...just chini ya post yako
 
Back
Top Bottom