The best of the best in Tanzania

Msembe airport stripπŸ˜€πŸ˜€ Kuna uwezekano mtu kapatwa na KifafaπŸ˜€πŸ˜€ Akili ndogo haijawai shinda akili kubwaπŸ˜€πŸ˜±
 
It is sad when a fool doesn't even understand what is going on.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mombo airstrip
Ahsante kwa kujua ni air strip na sio airportπŸ˜€πŸ˜€ Uzuli uwa unajijibu mwenyeweπŸ˜€πŸ˜€
 
Wacha urongo... I was in Ruaha NP in the recent past...Msembe haiko hivyo ulivyoipresent mkuu
Hivi ulipoenda Garissa Airstrip uliipata ikiwa hivi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi ulipoenda Garissa Airstrip uliipata ikiwa hivi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hiyo ni screen shot. Chukua details kwenye screen google uwone kama huta pata hiyo pichaπŸ˜€πŸ˜€ Unatokwa povu matundu yoteπŸ˜€πŸ˜€
 
Halafu sasa World Bank ReGROW project imetenga $150 mln for airstrips in Selous GR n Ruaha NP.
 
Msembe airportπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Naona umeanza kugeuka kila kona.
πŸ˜€πŸ˜€
Hii ni Duty Free Shop kwenye airport ya KenyaπŸ˜€πŸ˜€ Dunia simama nishukeπŸ˜€πŸ˜€ Tanzania ikifikia hapa naludi CongoπŸ˜€πŸ˜±
 
Hiyo ni screen shot. Chukua details kwenye screen google uwone kama huta pata hiyo pichaπŸ˜€πŸ˜€ Unatokwa povu matundu yoteπŸ˜€πŸ˜€
MR. MAHARISHIIIIII!!!!!!!!!!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hujui nchi yako msee? Msembe Ruaha airport hiyo.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unajua tofauti ya maneno airstrip name airport! Feel ashamed u call that banda in Garissa an airport! As u r proving our airstrips r way better compared to ur airports!
 
Hujui nchi yako msee? Msembe Ruaha airport hiyo.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tunaona umeamia kwenye runwayπŸ˜€πŸ˜€ Leo uko pekeyakoπŸ˜€πŸ˜€ Wenzako wanachungulia kipigo unachopataπŸ˜€πŸ˜€
 
Unajua tofauti ya maneno airstrip name airport! Feel ashamed u call that banda in Garissa an airport! As u r proving our airstrips r way better compared to ur airports!
Here is a minor Kenyan airport compared to a major Tanzanian airport. Compare and contrast. Guess which is which.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…