The best wedding-Tusichangishane tena fedha nyingi!

The best wedding-Tusichangishane tena fedha nyingi!

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Harusi simple kama hii si ndio yenyewe



Maharusi siku walipomeremeta


Msafara wa maharusi unaanza baada ya kumeremeta



Maharusi wakiwa na wapambe wao
 

Attachments

that kind of wedding is cool and very natural hope those people loves each other mungu awajalie mema sana na wanatufundisha kuepuka gharama nyingi kwa harusi tu.
 
Hii imetulia,nimeipenda sana,nadhani ni vema kuiga mfano huu.
 
Nadhani inategemea na hali halisi ya eneo husika. Kuna uwezekano mkubwa harusi hiyo ndio ya kifahari hapo kijijini (wameweza kukodi mpaka pikipiki!).
 
Back
Top Bottom