INAUZWA The best world perfume

*TENDER CARE PROTECTING BALM*

Kwa jina lingine bidhaa hii inaitwa SMALL BUT MIGHTY..Kwanini kwasababu bidhaa hii hufanya kazi nyingi kwenye ngozi yako..
[emoji404]Imetengenezwa na beeswax tuseme NTA ya nyuki ambayo ni asilia kabisa.

[emoji821]Tuone kazi za nta hii kwenye ngozi ya binadamu:
[emoji419]Huondoa seli za ngozi zilizokufa ambazo hukaa juu ya ngozi.
[emoji419]Huzuia muwasho wa ngozi na kuzuia ngozi isipauke sana na kukauka.
[emoji419]Huweka layer juu ya ngozi ambayo hii husaidia kuilinda ngozi na hali mbaya ya mazingira kama upepo hasahasa Jua
[emoji419]Huzuia fungus au bacteria wasishambulie ngozi
[emoji419]Huzuia maumivu kama kuungua au kung'twa nyuki
[emoji419]Huondoa makovu..

Na pia kuna VITAMIN E ambayo hii hasa husaidia ngozi isiharibike na Mionzi mibaya ya Jua ambayo husababisha madhara kama ngozi kuoza nk nk.

[emoji821]MATUMIZI:
Hupakwa sehemu zozote kavu mwilini -Visigino
-viwiko
-lips za mdomo
-magoti
-kwenye vidole
au sehemu yeyote ya ngozi ambayo inahitaji kulainishwa au kutibiwa kama vidondo vya kuungua moto nk.
Bei ni 13,000tsh

Kwa mawasiliano 0759827138whatsapp/text
 
Nipe tofauti kwanza ya eau de toillete na eau de parfum afu narudi kuchagua ipi ninunue
Eau de toilete ina kiasi cha mafuta cha 14 na hudumu kw masaa 3 hadi 4.EAU DE PERFUME ina kiasi cha 15% cha mafuta na hudumu kw masa 4 hadi 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…