Kama ukinyonga, ni wachache wamebaki na misimamo yao ya tangu awali bila kujali ni sawa au si sawa. Mmoja wa watu waliobadilika ni YEYE na sina hakika kama alikuwa upande wa nchi au upande wa tumbo lake, walisema kule kwenye kipande cha ardhi kafanya mambo makubwa tu kama wenzake, ifanyike vetting tu kwa kila mtu maana tume ya maadili ipo kwaajili ya kuficha mali zao kwa utaratibu maalum pengine.
Nasikia Raisi ndo alikuwa m/kiti wa Bunge la Katiba, hakuna wa kumuuliza kama rasimu ile ilikamilika? Kwa pesa zile zilizotumika, nini kimetokea hata haikupitishwa? Nini maoni yake kuhusu rasimu ile? Kama ilikamilika, ni sh ngapi itagharimu kwa yeye kuisaini kwakuwa anayo mamlaka hayo na yeye ndo alikuwa m/kiti?