~~~The Big L Pub - R Chuga~~~

~~~The Big L Pub - R Chuga~~~

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
Hi jf, weekend yangu nipo hapa pub na mafrends zangu,nimekuta kuna kuku wa ukweli,je hapa arusha kuna sehem gani nyingine panakuku wa kienyeji wa kuchoma kama hapa big l?
 
mi niko zqangu mbeya bado tunapigania haki wewe unakula raha haya bana starehe njema..
 
Mbona hatukaribishani hao kuku aise
Acha uchoyo bana
 
nenda pale sakina bar mkuu! kuku wa ukweli wanapatikana pale,,,
 
Mi nipo zangu Mtekenyo bar napiga kitu cha Castle Lager kama sina akili njema.
 
Duh! Nilikuwa QX bar kijenge ya chini. Nyama ya mbuzi utadhan kwa mworomboo!
 
Mi nipo zangu Mtekenyo bar napiga kitu cha Castle Lager kama sina akili njema.


Nifahamishe kidogo kuhusu hiyo Mtekenyo bar! Kuna huduma ya kutekenywa au ni jina tu? Ipo sehemu gani?
 
Billionaire club kuna kuku watamu balaa bila kusahau safari bistro
 
Back
Top Bottom