The Big question why?



Kulingana na Uisilamu Dini yoyote iloyotoka kwa Mungu, yaani dini yoyote iliyoanzishwa na Mtume wa Mungu hiyo ni dini ya kweli mbele ya Mungu na kama katika dini hizo atapatikana mtu mwema yaani mtu anatekeleza mambo mazuri yanayompendeza Mungu na mtu huyo akamkubali Mtume Muhamad (saw) kwamba ni nabii mkweli aliyeleta dini ya Uisilamu dini iliyokamilika, mtu huyo akitambua hilo basi huyo mtu siku ya Kiyama Mungu atamlipa malipo mema, Uisilamu hau "dominate Salvation", salvation can be found from all religions which came from God so whoever from the religions who does good deeds God promises him salvation and hence rewards in the hereafter only he should obey and confess the Holy prophet of Islam to be a true messenger of God and he should confess the truths of Islam.
 
Mkuu kwa maana hiyo mtu wa dini nyingine akitenda mema lakini akakataa habari za mtume Muhamad basi hatoiona pepo??
 
Mkuu kwa maana hiyo mtu wa dini nyingine akitenda mema lakini akakataa habari za mtume Muhamad basi hatoiona pepo??


Mtu Kuiona pepo au kutoiona hilo swala lipo katika mahakama ya Mungu na mimi sina mamlaka ya kusema fulani atapata pepo na fulani hatopata, ninachoweza kusema ni kwamba kwa mtu yeyote anayefuata dini iliyoletwa na mtume wa Mungu na mtu huyo akatekeleza mambo mema yanayompendeza Mungu kulingana na kitabu chake na huyo mtu akakiri na kukubali kuwa Mtume Muhammad (saw) ni mtume wa kweli wa Mungu na Uisilamu ni dini ya haki basi mtu huyo atapata ujira wake siku ya kiyama.

Japo Uisilamu ni dini iliyoleta "absolute salvation" kwa binadamu lakini bado hai-dominate " salvation".

Angalizo; Hatari iliyopo katika dini zingine ni kwamba vitabu vyao havijalindwa kama ilivyolindwa Qur'an hivyo kuna baadhi ya mafundisho ndani ya vitabu hivyo yamepotoshwa hivyo the safest side ni kujiunga na uisilamu ili mtu awe absolutely saved.
 

Sasa nimekuelewa! Dini ni imani! Unachoamini ndicho cha kweli! Ukiniuliza mie nan ataingia mitoni ntakwambia mashehe wanaotisha watu usiku na mchana kuwa kuna dajal sijui kuna vitu gan vitakuja kabla ya kuja isa! Haya ukiuliza isa ni nan hawasemi kama alikua muislam au mkristo ila wanasema nabii isa!
 
The answer is very simple......Our God is a God of varieties. Ndiomana duniani tupo tofauti tofauti kuna wachina,wahindi,waafrika,waarabu,wazungu n.k. The same applies kwenye dini ambapo duniani zinakadiriwa kufika zaidi ya elfu 40 (na kila dini inajinasibu kuwa yenyewe ndio njia sahihi).

In short kitakachokufikisha mbinguni sio dini yako bali ni your personal relationship with GOD
 
Siku ya hukumu ya mwisho formula itakayotumika ni summary ya matendoyako duniani kwa kipindi cha uhai wako haijalishi umetokea dini au dhehebu gani. Mungu hatahukumu watu kutokana na ufuasi wa dini fulani
 
Umekwepa ila umeingia tena mulemule.
Haya ni vema tu kuheshimu imani ya wengine.
 
al
all in all GOD is after who believe in him no matter the religions of this world
 
God is not religion and religion is not God.

Religion is different from spirituality. Religion is just a Fictional identity God has no religion...

No one should think it is his Prayers or religion God works for, in dealing with other people problems...

Also, God is not Conditioned.

Religion is a scam....[emoji1][emoji1]


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mungu sio dini na hana dini.

Dini ni za mwanadamu.Mtu yeyote asije kudhani kwamba Mungu hutumia Sala yake au Dini yake kujibu maombi ya watu wengine haijalishi huyo mtu ni mtakatifu kiasi gani!

Mungu haongozwi na mawazo ya wanadamu na matakwa ya kibinadamu.

Dini ni Utumwa wa fikra....[emoji1]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
People confuse Religion and Spirituality.

Spirituality is a personal relationship with the Divine.

Religion is a crowd control.

MUNGU HANA DINI.

Dini zote ni utapeli...!!!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Some of us are saying there is no God. So the whole question of discussion on religion is useless.
Some of us say God will meet us on the day of Judgement and then decide what to do with us while we are in our graves.
We believe in various holy personalities as Jesus, Mohamed, Jarathust, Buddha, Mahavir, who are all great and have had disciples and then followers whose commitment has resulted into various religious disciplines.
The purpose of all these religious sects is to control human behaviour to lead to God.
The real purpose of Religion is to lead to the reality that God is everywhere.
There is nowhere that God is not there.
It is to make one realise that he is with us, including in all our thoughts and actions.
It is to make us realise that good action has to result in good outcome and vice versa.
This principle is being taught to us all the time since time immemorial.
This principle has resulted in to innovations of mankind throughout the ages to date. It is called Sanatan Dharma.
 
Siku ya hukumu ya mwisho formula itakayotumika ni summary ya matendoyako duniani kwa kipindi cha uhai wako haijalishi umetokea dini au dhehebu gani. Mungu hatahukumu watu kutokana na ufuasi wa dini fulani


Lakini hayo matendo yako mema ni lazima yawe "guided" na maamrisho au mazingatio fulani, sasa hayo maamrisho na mazingatio unayapata wapi??-- unayapata kupitia dini ni hapo ndipo dini inapochukua nafasi, dini haiepukiki katika swala hilo, kinacho baki ni swali; je ni dini gani inafaa??
 
Tafsiri ya Dini ni mfumo aliojiwekea mwanadamu ili kumfikia Mungu.Duniani kuna dini na madhehebu zaidi ya elfu 50 na kila dini inadai yenyewe ndio njia ya kweli ya kumfikia Mungu. MUNGU hana shida na dini/dhehebu lako ila ana shida na moyo wako. Siku ya mwisho utahukumiwa kwa kadri ya matendo yako na uhusiano wako binafsi na Mungu sio kutokana na ufuasi wa dini yako
 
Siku ya mwisho utahukumiwa kwa kadri ya matendo yako na uhusiano wako binafsi na Mungu


Hayo matendo yako na huo uhusiano wako binafsi na Mungu, ni matendo gani na mahusiano gani??
 
Nifundishe kutema yai mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…