The Bistro Bar Dodoma wanawahitaji Tena NEMC au Idara za Afya

The Bistro Bar Dodoma wanawahitaji Tena NEMC au Idara za Afya

nguvumali

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2009
Posts
4,924
Reaction score
1,334
Nimeingia Dodoma Jana kuhudhulia uzinduzi wa Ikulu , Jioni hii nimefika Bar Ilivyokua imefungiwa na NEMC inaitwa The Bistro ...Iko Dodoma Nkuhungu.

Hii bar Kuna haya Mamitungi ya Shisha yanavutwa kila upande na kufanya indoor bar kuwa na mimoshi kwelikweli .

Mamlaka , zichukue hatua kuhusu matumizi holela ya Shisha hasa kwenye bar hii .

Huuu uvutaji haukubaliki
 
Bila shaka wewe ni mbunge fulani "jokes" [emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom