The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Daima mapenzi ya kweli huwnza kwa kuchukiana,kusemana vibaya na kuto kuelewana hatimaye kufuatiliana na kupendanana na hapo mtenganishi huwa kifo pekee

Nawatakia maisha mema na natabili hatima ndiye mwamumuzi wenu Jah bless you friends😯😯😯
 
Eti Numbisa Kuna wakorea wambea😃😃, maana huyu adriz nahisi ni li japani🤣🤣🤒
Nilipelekwa kama hostage wa Majapanese baada ya Mimi General kufosi nchi ya Joseon iingie vita na Wajap pamoja na kuharibu Mali za wafanya biashara zao , sasa nchi ikaamua kuniSacrifice kwa makosa yangu isije Japan kuharibu nchi na nikarejea Joseon after 5 years ..
 
U general SI uli kuwa wa kugawa mabakuli ya msosi kambini🤣😃.
 
Ngoma ilishapasuka wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…