"The bold" uko wapi na makala zako?

"The bold" uko wapi na makala zako?

Joined
Feb 15, 2013
Posts
64
Reaction score
109
Kwa wadau wazuri wa JF na wapenzi wa habari za kijasusi bila shaka tunamfahamu huyu mdau mzuri na mwandishi nguli wa hizi makala alikuwa akiandika kipindi cha nyuma ila kwa sasa sijajua makala zake ziko wapi na kama bado zipo humu JF naomba kuelekezwa maana nadhani kabadilisha ID yake. Nawakilisha
 
Nimeanza kusoma the other half dah sio siri the bold anajua
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Back
Top Bottom