Kwa wadau wazuri wa JF na wapenzi wa habari za kijasusi bila shaka tunamfahamu huyu mdau mzuri na mwandishi nguli wa hizi makala alikuwa akiandika kipindi cha nyuma ila kwa sasa sijajua makala zake ziko wapi na kama bado zipo humu JF naomba kuelekezwa maana nadhani kabadilisha ID yake. Nawakilisha