The Boss: "King Of MMU - 2011"

Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,702
Mchakato wa Kumtafuta Mfalme Wa Jukwaa La MMU yaani "King Of MMU" for the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF.
Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili kupata historia:

1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229994-polls-king-of-mmu-2011-a.html

Tume ya Uchaguzi ya Jamiiforums JEC baada ya kupitia mchakato mzima wa uteuzi wa wagombea na upigaji wa kura imeridhika kwa kauli moja kuwa Uchaguzi ulikuwa
HURU NA WA HAKI na hivyo inatangaza kuwa:

The Boss ni: JF King Of MMU - 2011 - (K-MMU 2011)

Kwa kuwa mhusika ametangazwa mshindi inampasa kuwa na maadili mema kipindi chote atakachokuwa amebeba title hii. Tume haitasita kumnyang'anya ushindi atakapokwenda kinyume na maadili ya JF na Tume.

Sambamba na hilo Members wa JF wanaopenda wanaruhusiwa kumwita kwa jina lake la heshima yaani:
K-MMU The Boss.

Pia sambamba na hilo zawadi ya TZS 50,000 itatolewa kwa mshindi wetu huyu.

Kwa niaba ya wana JF wote tume inapenda Kumpongeza kwa dhati kwa ushindi alioupata.

Wote Mnakaribisha Kumpongeza
K-MMU The Boss kwa Ushindi alioupata.

Wasalaam

Signed & Sealed:


Superman
Chairman - JEC

 
Huyu ndie The Boss bwana!!!
Congratulation The Boss.
 
Mkuu hongera sana
Unastahili
Ngoja na sisi tujitahidi na kujikongoja
 
Boss hongera...ila hiyo 50 wakupe cash manake kwa m-pesa/tigo pesa wanalima 1000...Bank atm walima 500 au usiruhusiwe kutoa unakuta inasoma "(sorry you have insuffient account)"
 
Hongera Saana Boss na Hongera pia Kwa Mbu to be two among the Contestants.... Best of Luck to both of you. Love to you both....
 
Hivi Michelle yuko wapi jamani!
Wageni watapokelewa na nani, maana hii sherehe ya bila hata kadi kazi kweli kweli.

Na vile vipwa(jakline na neema) sijui viko wapi vimenye hata vitunguu swaumu.

Hongera The Boss!
Angalizo: kalipe zile 20, 000 za ADI, unaaibisha bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…