The bottom of the barrel

Tutaelewana tu, we unaongea kizungu, Magugumaji anaelewa Kiswahili peke yake😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tundu Lisu has been always addressing the matter stipulated hereinabove but they ignored his Kind words. Haya ndiyo matokeo yake. Surely, I'm so excited for what SAA did to us.
Nabii Tundu Lissu alisema nini katika hili?
Lets PRAISE our Lord Tundu Lissu
 
This is best example ya Watanzania wanaozungumzuwa kwenye uzi. Wahusudu mtu.

Eti Nabii Lissu, kwanza akikusikia atakuchukia mpaka kufa, Lissu hapendi sifa za kijinga kama hizo, anawachukia wahubiri wanaojiita manabii, yeye anawaita wezi wa visenti vya walala hoi.

Wajinga ni wengi sana TZ, tutatumikia wachache maisha.
Nabii Tundu Lissu alisema nini katika hili?
Lets PRAISE our Lord Tundu Lissu
 

Fangus za poumbou 😂😂
 
No ! They do not reflect us at all , they reflect ccm
 
Wewe unaelekea kuwa "mhaini" sasa hivi , japo umeongea kweli tupu, wao ni sisi na sisi ni wao! Haya ndio matatizo ya kupaka rangi bati lanye kutu tayari.
 
Contribute your well architected silly ideas inline with the language used to post or else spare the lovely shit to the political immature greens!!!
 
Is there anyone here who read a Swahili play entitled "WALENISI"(tafsiri; Wale ni SISI na SISI ni WALE) written by Pro. Katama G. C Mkangi? If there is then he/she is in a position of fetching wisdom from it regarding to the post in question 😂 🤣 🤣
 
This administration has already proved failure since four years ago!! The worse things are still underway!
 
Huu Sio Uzalendo!, huwezi kuwa exited kwa majanga kuikumba nchi yako.
P
Viongozi wa serikali ndiyo hawana uzalendo hata kidogo kwa sababu Wangekuwa wazelendo wasingefanya mambo ya kipumbavu ambayo mwisho wa siku yanaigharimu nchi yetu.

Kuna methali inasema "ulivyoligema utalinywa vivyo hivyo"

Wakati wa kufanya maamuzi huwa hawatushirikishi ila likitokea Jambo kama hilo wanataka tuwaonee huruma. Haiwezekani kabisa. Truly, we are less concerned with what happened to ATCL.
 
THANK YOU! 🙏🏽 👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽👍🏽
I am not a reflection of wahuni, majizi na mafisadi wa ccm.

No ! They do not reflect us at all , they reflect ccm
 
There is indeed a serious problem do exist. When someone start scratching beneath the surface of the hoopla and smiles, really he will uncover reluctance of relevant authorities for settling long lasting issues in time.
 
Hapendi kusifiwa nawewe unasifia....... 😁
Usichoelewa nilikuwa namponda na nawaponda nyinyi mnaomwimbia mapambio kama wake zake wadogo
 
Ukiamua kufumba macho na kujiaminisha na kujisifu sana kuwa huna matatizo, utakachofanikiwa ni kupata usingizi tu. Tena kwa muda. Lakini matatizo yako yataendelea kuwapo na yatakuandama. Dawa ni kuyafuatilia, kuyachuguza na kuyapatia ufumbuzi wa kweli. Usipokubali kufanya hivyo utaishia kuwa mtu wa kuokoteza visingizio, kama alivyokuwa Mobutu wa Zaire. Alikamata na kuuwa mpaka wanamuziki. Eti kuna nyimbo zao ndio zinachochea matatizo yanayoikabili nchi yake. Mwisho wake tuliusikia wote.
 
Contribute your well architected silly ideas inline with the language used to post or else spare the lovely shit to the political immature greens!!!


Ni wapi imeandikwa ni lazima iwe hivyo? Wewe ni nani hadi unipangie lugha ya kuandika?
 
Yer damn right USA baby!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…