The Bus with Erick Omond

Huyu jamaa ni chizi na nusu 🤣🤣🤣🤣 eti Samia anataka Diamond, Ruto anamtaka Shusho maana Diamond aliimba kwenye kampeni za Raila.

Hapo wanagombana msibani kwenye basi la ICHA 😄😄
 
Huyu jamaa ni chizi na nusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti Samia anataka Diamond, Ruto anamtaka Shusho maana Diamond aliimba kwenye kampeni za Raila.

Hapo wanagombana msibani kwenye basi la ICHA [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah Erick anatisha....kazi nzuri sio kwa unyama huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…