FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 723
Kwahiyo, perhaps kuna precedent kwa mapokezi ya thieves and ****** who are sanctioned by the Parliament.
Kichuguu, hujui kwamba CHADEMA ni NGO? Kwahiyo, usishangazwe na NGO nyenzake kujitokeza kumpokea shujaa...anayepokewa kwa kutimiza wajibu wake wa kuipinga Serikali. Wabongo kweli tumelemaa...yaaani tunafanya maandamano kisa Mbunge wa Upinzani kaleta hoja Bungeni ya kuipinga Serikali. What did we expect him to do?
Fikiraduni,
Wewe sasa unalazimisha tembo afanye gymnastics. Ukiondoa Kitila, katika hawa jamaa hakuna mwenye intellectual stamina ya kupitia documents zote mbili na kuchambua hoja kwa hoja. Hapa ukileta headline ya Kulikoni ndio wao wanajitumbukiza. Mwanakijiji akisema kaonge na Meddy Mpakanjia utaona wanajitumbukiza enthusiastically. Kwahiyo, pole mkubwa.
Nimeshagundua, hawana hoja, kweli Kitila namkubali ingawa sio Chadema mimi.
FD
Mugongo Mugongo
That is a direct insult to other forum members...Please take it back.
Hahaha! I see moderators wamefanya mambo na kuanzia sasa "i.diot" imezuiwa kutumika hapa JF. So, the brand has to stuck to Mr. Mbowe.
Anakuwa tishio kwa Mbowe na soon wataanza kumfanyia fitna kama walivyomtoa Shaibu Akwilombe na Amani Walid Kaburu.
No wonder kuna siku hapa JF mtu mmoja alipo-suggest kuwa yeye ndio awe kiongozi wa CHADEMA huyu bwana aliomba kauli ifutwe mara moja kwasababu anajua madhara yake. Kwikwikwi!
Fikiraduni,
Wewe sasa unalazimisha tembo afanye gymnastics. Ukiondoa Kitila, katika hawa jamaa hakuna mwenye intellectual stamina ya kupitia documents zote mbili na kuchambua hoja kwa hoja. Hapa ukileta headline ya Kulikoni ndio wao wanajitumbukiza. Mwanakijiji akisema kaonge na Meddy Mpakanjia utaona wanajitumbukiza enthusiastically. Kwahiyo, pole mkubwa.
Ngoja tusibiri a pageant ya mapokezi. Interesting precedent tunaiweka. Na watu wanasahau hapa kwamba Bunge, hili hili la CCM, lilimsimamisha Idi Simba at one point. Na bado akaingia Dar kwa mapokezi.
you are up for a treat buddy!
Well, tunayasubiri mapokezi. Tushazoea kusimamisha kazi kwa sherehe za kila mara.
I'm not talking about that silly!
I'm not talking about that silly!
Nimewachokonoa eh! mpaka mnaweka visasi. Kwikwikwi!
Nimewachokonoa eh! mpaka mnaweka visasi. Kwikwikwi!
So, what have I got: three people. One saying utaipata na utajuta kutu-criticise. Mwingine anasema ana "criminal record" yangu (kwi kwi kwi!). Mwingine anatishia "you are in for a treat silly". And all are CHADEMA people. The reason: they got a little wake-up call kwamba kuna upande wa pili wa mawazo. So, upinzani can bring forth the darkest side of human being...to a point of making an appointment to hate, to revenge, hata kama ni kwenye anonymous situation kama ya hapa JF. Ndio maana "watawala" kule home wanawatwanga virungu wapinzani. It is not about kutishia mlo wao. It is about hating a different opinion. Kaaaazi kwelikweli!
What else haven't I heard?