Mugongo Mugongo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2006
- 223
- 8
Akinukuliwa na Hansard ya tarehe 16/07/2007, Mheshimiwa Kabwe Zitto alisema nanukuu kutokana na majibu ya Mheshimiwa Waziri kuhusiana na Mkataba mpya wa Mgodi Buzwagi ambao Mheshimiwa Waziri ameeleza maelezo ambayo siyo sahihi, amedanganya na ameeleza vitu ambavyo kwa kweli sivyo ambavyo vipo katika Mkataba ambao ameusaini mwisho wa kunukuu.
Sasa kama mheshimiwa ZITTO alimuita Karamagi muongo,lakini Zitto akashindwa kuprove kuwa KAramagi kweli ni Muongo hapo ni nani Muongo? Zitto au Karamagi? nani kalidanganya Bunge hapo?
Kama Zitto ametoa maelezo katika Bunge ambapo ikaja kudhihirika kwamba kumbe Zitto anachanganya mambo,sasa ni nani atakuwa ameeleza maelezo ambayo siyo sahihi? Zitto au Karamagi? ni nani muongo hapo?
Na kama sasa imedhihiri kuwa Zitto ndiye muongo na si karamagi,kwa nini ZITTO ASICHUKULIWE HATUA ZA KINIDHAMU ZA KULIDANGANYA BUNGE?
So, what have I got: three people. One saying utaipata na utajuta kutu-criticise. Mwingine anasema ana "criminal record" yangu (kwi kwi kwi!). Mwingine anatishia "you are in for a treat silly". And all are CHADEMA people. The reason: they got a little wake-up call kwamba kuna upande wa pili wa mawazo. So, upinzani can bring forth the darkest side of human being...to a point of making an appointment to hate, to revenge, hata kama ni kwenye anonymous situation kama ya hapa JF. Ndio maana "watawala" kule home wanawatwanga virungu wapinzani. It is not about kutishia mlo wao. It is about hating a different opinion. Kaaaazi kwelikweli!
What else haven't I heard?
Huu ndio ugonjwa wetu mkubwa. Tunaangalia hili jambo kwa miwani ya kiitikadi. Mie nikiwa namba moja, by the way.
acha porojo wewe.. treat yangu mimi ni arguments. I stand on my own ground sina muda wa kujua nani ni nani.. na anafanya nini na sijui visasi.. hoja hujibiwa kwa hoja.. hazijibiwi kwa kejeli, vitisho, ubabe, au kufungia watu Ubunge!
Wote naomba kuwauliza.. Mudhihir alijuaje kuwa Zitto alisema Uongo kuhusu Karamagi?
Alisikiliza na kutafakari hoja zote mbili. You know, you can do it too, now that we have those hojas here at JF.
acha porojo wewe..
Alisikiliza na kutafakari hoja zote mbili. You know, you can do it too, now that we have those hojas here at JF.
Kwani Mudhihir siyo mbunge? pengine alikuwepo bungeni tarehe 16/07/2007 au hata kama hakuwepo pengine alisoma katika hansard ya tarehe 16/07/2007 Zitto alipomshambulia Karamagi kwa KUmuita ni Muongo na kwa kulieleza Bunge kwamba Karamagi amevunja Sheria kwa kusaini mkataba ule, ilhali imekuja kudhihiri kumbe karamgi hajakosea wala nini.Wote naomba kuwauliza.. Mudhihir alijuaje kuwa Zitto alisema Uongo kuhusu Karamagi?
Wote naomba kuwauliza.. Mudhihir alijuaje kuwa Zitto alisema Uongo kuhusu Karamagi?
Kwa sababu yeye (Mudhihir) ni CCM kwa hiyo lazima muongo atakuwa Mpinzani...
Hahaha! This sums it all. Indeed, na kwasababu majority hapa JF ni CHADEMA, basi concensus ni kwamba Zitto kaonewa. Case closed!
Kwani Mudhihir siyo mbunge? pengine alikuwepo bungeni tarehe 16/07/2007 au hata kama hakuwepo pengine alisoma katika hansard ya tarehe 16/07/2007 Zitto alipomshambulia Karamagi kwa KUmuita ni Muongo na kwa kulieleza Bunge kwamba Karamagi amevunja Sheria kwa kusaini mkataba ule, ilhali imekuja kudhihiri kumbe karamgi hajakosea wala nini.
Mwanakijiji soma hansard ya TAREHE 16/07/2007 uone ZItto alivyomshambulia karamagi bungeni kwa kumuita muongo
Kuna mwenye Finance Act No 14 ya 2001 aniwekee hapa? Nimejaribu kutafuta kwenye website ya Bunge lakini haifunguki, nilitaka kucheki facts kati ya Karamagi na Zitto.
Nafikiri unazungumzia sheria ya Fedha ya 2004. Kama ni hiyo nimekuambatanishia hapa.