THE CALL: bONGE LA MOVIE

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
"THE CALL" bonge moja la muvi 2013, ni kitengo cha huduma za dharura 911 Los Angeles, wanapokea simu za matukio ya hatari jijini, halafu kuna huyu jamaa ana matatizo ya akili anateka wasichana wenye nwele ndefu zenye rangi flani anawapasua vichwa kwa uangalifu apate wigi la nywele hizo zinazomkumbusha kitu fulani kwenye hisia zak, halafu kuna huyu binti shujaa anamuokoa mtu aliyekaribia kutobolewa kichwa kwa ajili ya nwele zake!
 
Check na Phone Booth , ya 2002 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…