Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Oct 22, 2012 #21 King Kong III said: Kama Kawaida Leo Selebu ni Mrisho Mpoto aka Mjomba---#NW Click to expand... Mavi matupu. Huyo Mrisho mpoto nilimfuma anakula sambusa za nyama wakati ye anadai ni Rasta asiekula nyama. Bongo selebu ni Amri Athuman peke yake... Wengine woote hao ni sawa na mkia wa Mbuzi, haustiri uchi wala haufukuzi Nzi
King Kong III said: Kama Kawaida Leo Selebu ni Mrisho Mpoto aka Mjomba---#NW Click to expand... Mavi matupu. Huyo Mrisho mpoto nilimfuma anakula sambusa za nyama wakati ye anadai ni Rasta asiekula nyama. Bongo selebu ni Amri Athuman peke yake... Wengine woote hao ni sawa na mkia wa Mbuzi, haustiri uchi wala haufukuzi Nzi
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Oct 22, 2012 #22 mourad77 said: peleka huko tupa mbalini tanzania hakuna Celeb sio Tanzania tu Africa nzima ukiacha Mandela,Koffi anan na Hayati Muammary Ghaddaf Click to expand... Vipi kuhusu mchezaji wa zamani wa AC Milan ambaye alipata kuwa mwanasoka bora wa Dunia, Ulaya na Africa hapa namzungumzia Opong George Wear?
mourad77 said: peleka huko tupa mbalini tanzania hakuna Celeb sio Tanzania tu Africa nzima ukiacha Mandela,Koffi anan na Hayati Muammary Ghaddaf Click to expand... Vipi kuhusu mchezaji wa zamani wa AC Milan ambaye alipata kuwa mwanasoka bora wa Dunia, Ulaya na Africa hapa namzungumzia Opong George Wear?
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Oct 22, 2012 #23 NEW NOEL said: Mbona hapo kwenye post yako unaonesha unatumia Blackberry 9900 Click to expand... umeona eeeeh! watu majogo sana humu hadi wanakera
NEW NOEL said: Mbona hapo kwenye post yako unaonesha unatumia Blackberry 9900 Click to expand... umeona eeeeh! watu majogo sana humu hadi wanakera
obsesd JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 1,225 Reaction score 529 Nov 1, 2012 #24 no uhalisia kbs yan.................kipindi kibovu! WAJIPANGE!