The Chanzo: Kipindi maalum miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

The Chanzo: Kipindi maalum miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
THE CHANZO: KIPINDI MAALUM MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA

Mtangazaji Khalifa Said si Mtangazaji ambae ningependa arudi tena kunihoji.

Kijana mdogo Khalifa ni sawa na bondia anaevurumisha ngumi nzito, "combination," za "jabs na upper cuts," mfululizo bila kupumzika.

Ngumi zote hizi nzito zikitua kichwani na usoni kwangu.

Kiti nilichokalia nilihisi kama kimekokewa moto chini yake.

Sijapata kupatwa na kimulimuli kinacho pofua macho kama hiki.

In Shaa Allah tusubiri Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika kipindi kitakaporushwa.

Screenshot_20211009-225412_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom