DreezyD98
JF-Expert Member
- Nov 6, 2020
- 1,610
- 2,874
Mikoa yenye idadi kubwa ya kaya zinazojisaidia vichakani, porini na baharini (hazina vyoo).
Asilimia ya kaya kati ya kaya zote katika mkoa husika zinazojisaidia vichakani n.k
1. Kaskazini Pemba - 30.9
2. Kusini Pemba - 19.8%
3. Manyara - 17.3%
4. Arusha - 15.3%
5. Mara - 15.3%
6. Tabora - 13.6
7. Simiyu - 9.1%
8. Kaskazini Unguja - 8.7%
9. Shinyanga - 8.3
10. Singida - 7.9%
11. Tanga - 7.3%
12. Katavi - 7%
13. Kaskazini Unguja - 5.5%
14. Dodoma - 5.3%
15. Geita - 5.2%
The Chanzo